Ombi kwa shirikisho la soka Tanzania (TFF)

Hakuna kuahirisha mechi, sisi Yanga tunajiamini, hatudeki - Ally Kamwe
Wewe nawe uwe na akili muda mwingine, kwanini mtu mzima unakuwa wa ovyo kila mahali unakuwa mjinga wa utimu.
 
Hakuna kuahirisha mechi, sisi Yanga tunajiamini, hatudeki - Ally Kamwe
Sijui hata ulisoma kilichoandikwa maana ulichoandika hakihusiani kabisa na mada
 
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana hao ulio watolea mfano walisajiriliwa katika umri gani sasa hao wazee kina Zimbwe , Msuva wanaenda kufanya nini huko? mbaya zaidi kuonyesha huna akili unasema agent kuchoma nauli wakati hio ndio kazi yake
kwani timu ya taifa ina wachezaji wazee tu au wew ni kichaa unayejifanya una akili hamna vijana kwenye timu ya taifa ngoja nikupe mfano mwingine Ngassa wakati anaenda kufanya majaribio westaham ya EPL alionekana kupitia nationa team hakuonekana kupitia klabu ya Yanga Bongalo khumalo alisajiliwa na Spurs akiwa na umri wa miaka zaidi ya 28 ma agent walimuona kupitia timu ya taifa ya South ni mtoto yule nyiny vitoto mnajiandikiaga vitu bila ata kufikiri mkipewa fack mnaanza kutakana ovyo mpira wenyewe meanza kuangalia jana
 
Mbali na kucheza mpira kuna kupata injury pia hilo ulifikirie
Kwamba mazoezini ndo hawapati injuries.....nakupa home work hebu fuatilia idadi ya injuries zinazopatikana na mazoezini na kwenye mechi afu urudi hapa.
 
Kwamba mazoezini ndo hawapati injuries.....nakupa home work hebu fuatilia idadi ya injuries zinazopatikana na mazoezini na kwenye mechi afu urudi hapa.
Unajua mnataka kuleta ligi sizizo na maana, embu tuangalie faida na hasara kwa hao wachezaji wanaotegemewa na timu zao kwenda hizo mechi za kirafiki.

Mazoezini mchezaji anaweza kupata injury hata kwenye mechi pia uwezekano wa kupata injury upo ila nini faida ya hawa wachezaji kubakia na vilabu vyao?
1) kuna program ya mazoezi ya mwalimu kuelekea kwenye mechi za Al Ahly na Mamelod hivyo hawa wachezaji kuna session watalazimika kuzikosa hivyo ina wapa ugumu makocha wa Simba na Yanga kuandaa program zao vizuri.

Ikumbukwe kuwa timu ya taifa ya Tanzania itacheza mechi mbili na mechi ya mwisho itapugwa tarehe 25 March. Hivyo safari ya kurudi Tanzania itakuwa tarehe 27 March. Hao wachezaji watoke safarini kisha tarehe 29 waingie uwanjani kucheza mechi ya klabu bingwa je program ya mwalimu kuelekea kwenye mechi husika watakuwa wameifuatilia ipasavyo?

Hapo bado ishu ya uchovu wa safari na injury.
 
Hao viongozi wa vilabu si ajabu wamekaa kimya wanafurahia wamepata sababu
 
Kuichukulia Yanga wachezaji watano wa muhimu sana (Mzize, Mudathir, Bacca, Mwamnyeto na Mshery) kwa wiki mbili hadi Machi 27 huku wakitegemewa kucheza dhidi ya Mamelodi siku ya Machi 29 kweli ni hujuma za makusudi dhidi ya Yanga kwenye CAF Championship.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…