Ombi kwa TFF: Muda wa kuanza mechi za ligi kuu usogezwe mbele kwa mkoa wa Kigoma

Kesho tupo makao makuu ya nchi
#mapigonamwendo
FB_IMG_1707549983696.jpg
 
Hujakaa kigoma mkuu, uliza mtu yeyote akwambie huku mpaka saa moja na nusu jua bado halijazama. Usijaribu kubisha kitu ambacho huna uhakika nacho.
Kigoma nimekaaa, Sio kubisha mzee, hata simple Geography inakataa Maelezo yako (kama umesoma) Kigoma na Dar zote zipo ndani ya longitude 45 haziwezi kutofautiana hata kwa lisaa......
 
Inavyoonekana wewe huna akili, yaani sehemu mbili zenye umbali wa kilomita 1263 due east and west ziwe kwenye 45°E zote, akili za wapi hizi

Basi angalia fact nyingine basi nayo uijibu, tazama tamani afu sema kama kuna tofauti kati ya kigali, Bujumbura na kigoma kuhusu hizo longitude kisha sema kwanini kigali na Bujumbura zinasomekan+2 wakati kigoma ni +3

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Kaka mashujaa tumesajili, nadhani hujauona ubora wetu kwakua tumekutana na timu mbili za madaraja ya juu kwa wakati mmoja. Ila watoto wa kariakoo wote wanaujua mziki wa masokwe wa lake Tanganyika.
Sidhani huwa mnaanza vizuri Kisha mnapoteana anyway tuone ila ule sio usajili mzuri ni majina mazuri ya wachezaji walio hamasika lakini hawana ndoto yoyote
 
Kigoma nimekaaa, Sio kubisha mzee, hata simple Geography inakataa Maelezo yako (kama umesoma) Kigoma na Dar zote zipo ndani ya longitude 45 haziwezi kutofautiana hata kwa lisaa......
Kwenye kesi ya geogaphical calculations, kigoma ipo 29°39'01' ambayo ukigawa kwa 15 utapata1.93 ambayo ni ~ +2.

Dar es salaam ipo 39°23'01' ambayo ukigawa kwa 15 jibu lake ni 2.6 ambayo ni ~+3.

Kwa hesabu hizo ambazo umezitaka wewe mwenyewe japo unasemaje?

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Kwenye kesi ya geogaphical calculations, kigoma ipo 29°39'01' ambayo ukigawa kwa 15 utapata1.93 ambayo ni ~ +2.

Dar es salaam ipo 39°23'01' ambayo ukigawa kwa 15 jibu lake ni 2.6 ambayo ni ~+3.

Kwa hesabu hizo ambazo umezitaka wewe mwenyewe japo unasemaje?

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Huyo hajawahi ishi kigoma achana nae atakupasua kichwa Tu... Kigoma kuna muda saa moja unaweza dhani ni saa 12
 
Kazi ya tff ni kupanga timu ipi itacheza na timu ipi na uwanja gani; ratiba ya kuonyesha muda anafanya Azam Tv
 
Sahihi kabisa, mdau ana hoja tena nzito. TFF walifikirie hilo. Kigoma giza linaanza kukolea saa mbili kosoro robo jioni hivyo kucheza mpira saa kumi -Kigoma ni sawa na kucheza Dar es salaam mchana saa tisa.... Jua lake ni balaa. ⚡
 
Tofauti ya kuzama kwa jua leo kati ya Dar na Kigoma ni kama dakika 30+ haifiki hata saa 1. Kwa hiyo watu wa Kigoma kwa sasa machweo yanachelewa kote hata Morogoro jua litazama saa 1 kasoro jioni leo.View attachment 2900391
Screenshot_20240211-084652_Chrome.jpg
 
Kwenye kesi ya geogaphical calculations, kigoma ipo 29°39'01' ambayo ukigawa kwa 15 utapata1.93 ambayo ni ~ +2.

Dar es salaam ipo 39°23'01' ambayo ukigawa kwa 15 jibu lake ni 2.6 ambayo ni ~+3.

Kwa hesabu hizo ambazo umezitaka wewe mwenyewe japo unasemaje?

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Sasa si ndio nilichokuwa nakisema? Au hujanielewa, ni kuwa Kigoma na Dar zimetofautiana kwa muda lakini haufiki lisaa limoja, ni kama dk 40 hadi 45 hivi
Ndio maana hata kwenye hizo calculation zako ukitoa hupati tofauti ya +1 exactly bali makadirio
 
Inavyoonekana wewe huna akili, yaani sehemu mbili zenye umbali wa kilomita 1263 due east and west ziwe kwenye 45°E zote, akili za wapi hizi

Basi angalia fact nyingine basi nayo uijibu, tazama tamani afu sema kama kuna tofauti kati ya kigali, Bujumbura na kigoma kuhusu hizo longitude kisha sema kwanini kigali na Bujumbura zinasomekan+2 wakati kigoma ni +3

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Wewe ni mbumbumbu tofauti ya muda kati ya eneo na eneo haipimwi kwa kuangalia umbali bali ni degree, dunia ni duara na umbali kati ya longitude moja na nyingine unatofautiana kulingana na eneo ulilopo kenge maji wewe
 
Hujakaa kigoma mkuu, uliza mtu yeyote akwambie huku mpaka saa moja na nusu jua bado halijazama. Usijaribu kubisha kitu ambacho huna uhakika nacho.
Anabishana na waha original hiyo mechi haiwezi
 
Kwenye kesi ya geogaphical calculations, kigoma ipo 29°39'01' ambayo ukigawa kwa 15 utapata1.93 ambayo ni ~ +2.

Dar es salaam ipo 39°23'01' ambayo ukigawa kwa 15 jibu lake ni 2.6 ambayo ni ~+3.

Kwa hesabu hizo ambazo umezitaka wewe mwenyewe japo unasemaje?

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Mkuu uko vizuri Geography atakayekubishia kichwani hazimo
 
Kigoma nimekaaa, Sio kubisha mzee, hata simple Geography inakataa Maelezo yako (kama umesoma) Kigoma na Dar zote zipo ndani ya longitude 45 haziwezi kutofautiana hata kwa lisaa......
Aibu nmeona mimi, umeishaia darasa la ngapi wewe?
 
Back
Top Bottom