rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Kwa tuliokaa Kigoma tunajua ukweli jamaa amebisha ili miradi aonekane anajua kitu.Hujakaa kigoma mkuu, uliza mtu yeyote akwambie huku mpaka saa moja na nusu jua bado halijazama. Usijaribu kubisha kitu ambacho huna uhakika nacho.
Kigoma nimekaaa, Sio kubisha mzee, hata simple Geography inakataa Maelezo yako (kama umesoma) Kigoma na Dar zote zipo ndani ya longitude 45 haziwezi kutofautiana hata kwa lisaa......Hujakaa kigoma mkuu, uliza mtu yeyote akwambie huku mpaka saa moja na nusu jua bado halijazama. Usijaribu kubisha kitu ambacho huna uhakika nacho.
Inavyoonekana wewe huna akili, yaani sehemu mbili zenye umbali wa kilomita 1263 due east and west ziwe kwenye 45°E zote, akili za wapi hiziKigoma nimekaaa, Sio kubisha mzee, hata simple Geography inakataa Maelezo yako (kama umesoma) Kigoma na Dar zote zipo ndani ya longitude 45 haziwezi kutofautiana hata kwa lisaa......
Sidhani huwa mnaanza vizuri Kisha mnapoteana anyway tuone ila ule sio usajili mzuri ni majina mazuri ya wachezaji walio hamasika lakini hawana ndoto yoyoteKaka mashujaa tumesajili, nadhani hujauona ubora wetu kwakua tumekutana na timu mbili za madaraja ya juu kwa wakati mmoja. Ila watoto wa kariakoo wote wanaujua mziki wa masokwe wa lake Tanganyika.
Kwenye kesi ya geogaphical calculations, kigoma ipo 29°39'01' ambayo ukigawa kwa 15 utapata1.93 ambayo ni ~ +2.Kigoma nimekaaa, Sio kubisha mzee, hata simple Geography inakataa Maelezo yako (kama umesoma) Kigoma na Dar zote zipo ndani ya longitude 45 haziwezi kutofautiana hata kwa lisaa......
Huyo hajawahi ishi kigoma achana nae atakupasua kichwa Tu... Kigoma kuna muda saa moja unaweza dhani ni saa 12Kwenye kesi ya geogaphical calculations, kigoma ipo 29°39'01' ambayo ukigawa kwa 15 utapata1.93 ambayo ni ~ +2.
Dar es salaam ipo 39°23'01' ambayo ukigawa kwa 15 jibu lake ni 2.6 ambayo ni ~+3.
Kwa hesabu hizo ambazo umezitaka wewe mwenyewe japo unasemaje?
Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Sasa si ndio nilichokuwa nakisema? Au hujanielewa, ni kuwa Kigoma na Dar zimetofautiana kwa muda lakini haufiki lisaa limoja, ni kama dk 40 hadi 45 hiviKwenye kesi ya geogaphical calculations, kigoma ipo 29°39'01' ambayo ukigawa kwa 15 utapata1.93 ambayo ni ~ +2.
Dar es salaam ipo 39°23'01' ambayo ukigawa kwa 15 jibu lake ni 2.6 ambayo ni ~+3.
Kwa hesabu hizo ambazo umezitaka wewe mwenyewe japo unasemaje?
Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Wewe ni mbumbumbu tofauti ya muda kati ya eneo na eneo haipimwi kwa kuangalia umbali bali ni degree, dunia ni duara na umbali kati ya longitude moja na nyingine unatofautiana kulingana na eneo ulilopo kenge maji weweInavyoonekana wewe huna akili, yaani sehemu mbili zenye umbali wa kilomita 1263 due east and west ziwe kwenye 45°E zote, akili za wapi hizi
Basi angalia fact nyingine basi nayo uijibu, tazama tamani afu sema kama kuna tofauti kati ya kigali, Bujumbura na kigoma kuhusu hizo longitude kisha sema kwanini kigali na Bujumbura zinasomekan+2 wakati kigoma ni +3
Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Waambie hawa mazezeta, Kigoma na Dar hazina tofauti ya lisaa kati yaoTofauti ya kuzama kwa jua leo kati ya Dar na Kigoma ni kama dakika 30+ haifiki hata saa 1. Kwa hiyo watu wa Kigoma kwa sasa machweo yanachelewa kote hata Morogoro jua litazama saa 1 kasoro jioni leo.View attachment 2900391View attachment 2900392
Anabishana na waha original hiyo mechi haiweziHujakaa kigoma mkuu, uliza mtu yeyote akwambie huku mpaka saa moja na nusu jua bado halijazama. Usijaribu kubisha kitu ambacho huna uhakika nacho.
Mkuu uko vizuri Geography atakayekubishia kichwani hazimoKwenye kesi ya geogaphical calculations, kigoma ipo 29°39'01' ambayo ukigawa kwa 15 utapata1.93 ambayo ni ~ +2.
Dar es salaam ipo 39°23'01' ambayo ukigawa kwa 15 jibu lake ni 2.6 ambayo ni ~+3.
Kwa hesabu hizo ambazo umezitaka wewe mwenyewe japo unasemaje?
Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Aibu nmeona mimi, umeishaia darasa la ngapi wewe?Kigoma nimekaaa, Sio kubisha mzee, hata simple Geography inakataa Maelezo yako (kama umesoma) Kigoma na Dar zote zipo ndani ya longitude 45 haziwezi kutofautiana hata kwa lisaa......