Kaka, umejibu sahihi kabisa. Lakini huwezi kufanya kosa kwa sababu mwenzako kafanya kosa, na bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi. Polisi wanakera sanaKiusalama haitakiwi.mim pia ni dereva na wamewah kunisumbua kwa tatizo Kama hilo lakin wao magar yao yanaufa lkn pia hata bima haya na hayakamatwi kwel tunanyanyasika Sana barabaran maana imekua biashara kwao
Salaam wana JF,
Leo asubuhi nimekamatwa na askari wa usalama barabarani nikiwa naendesha gari. Vibali vyote ninavyo tatizo ni kioo cha mbele (Wind Screen) ina ufa nikaambiwa hili ni kosa na huna budi kulipa faini ya Tshs 30,000. Kwa upande wangu sikuona kama ni kosa kioo kuwa na ufa. Tulibishana saana pale na afande mwishowe akaniambia nimpatie hela ya chai then niendelea na safari yangu, sikuwa na jinsi nilimpatia elfu 5 nikaendelea na safari yangu.
Swali Je kioo cha mbele kuwa na ufa ni kosa kisheri??? Naomba kuelimishwa.