Salaam wana JF,
Leo asubuhi nimekamatwa na askari wa usalama barabarani nikiwa naendesha gari. Vibali vyote ninavyo tatizo ni kioo cha mbele (Wind Screen) ina ufa nikaambiwa hili ni kosa na huna budi kulipa faini ya Tshs 30,000. Kwa upande wangu sikuona kama ni kosa kioo kuwa na ufa. Tulibishana saana pale na afande mwishowe akaniambia nimpatie hela ya chai then niendelea na safari yangu, sikuwa na jinsi nilimpatia elfu 5 nikaendelea na safari yangu.
Swali Je kioo cha mbele kuwa na ufa ni kosa kisheri??? Naomba kuelimishwa.