Ombi kwa Watalaam wa Afya: Watanzania wengi hatujui kuhusu cancer ya Tezi dume

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2012
Posts
2,977
Reaction score
1,897
Watanzania wengi tunadhani prostate cancer au Tezi dume ni mabusha. Tunaomba
Wataalamu watuelezee hapa kitaalam namna Kipimo cha kidole cha Kati kinavyofanya kazi. Pia mashart ya dawa ya chemotherapy injection na mashart yake baada ya kushambulia mifupa. Wazazi wetu wangi hawapimwi ugonjwa huu kutokana na uelewa wao mdogo.
[Y="MJUKUU WA CHIFU, post: 25958063, member: 431641"]CHANZO CHA TATIZO
Chanzo kikubwa cha hili tatizo ni kushambuliwa kwa tezi dume na bacteria mbalimbali ambao wanaweza kuwa ni visababishi vya magonjwa mbalimbali ya zinaa mfano,kaswende,kisonono,pangusa n.k au bacteria wanao shambulia mfumo wa mkojo(UTI)wanaweza kupenya na kuifikia tezi dume na kuishambulia,vyanzo vingine ni kushuka kwa kinga za mwili na ajali zinazopelekea kuumia katika eneo ambalo tezi dume ipo pia kunamazingira hatarishi yanayo pelekea mwanaume kuathirika na hili tatizo;
Kama mwanaume alishawahi kuwa na hili tatizo na hakupata matibabu sahihi
Kuwa na maambukizi katika kibofu cha mkojo au mrija unao tiririsha mkojo (urethra)
Kutokunywa maji ya kutosha
Kuwa na wapenzi wengi na kushiriki tendo la ndoa na mpenzi mwenye maambukizi ya magonjwa ya
CHANZO CHA TATIZO
Chanzo kikubwa cha hili tatizo ni kushambuliwa kwa tezi dume na bacteria mbalimbali ambao wanaweza kuwa ni visababishi vya magonjwa mbalimbali ya zinaa mfano,kaswende,kisonono,pangusa n.k au bacteria wanao shambulia mfumo wa mkojo(UTI)wanaweza kupenya na kuifikia tezi dume na kuishambulia,vyanzo vingine ni kushuka kwa kinga za mwili na ajali zinazopelekea kuumia katika eneo ambalo tezi dume ipo pia kunamazingira hatarishi yanayo pelekea mwanaume kuathirika na hili tatizo;
Kama mwanaume alishawahi kuwa na hili tatizo na hakupata matibabu sahihi
Kuwa na maambukizi katika kibofu cha mkojo au mrija unao tiririsha mkojo (urethra)
Kutokunywa maji ya kutosha
Kuwa na wapenzi wengi na kushiriki tendo la ndoa na mpenzi mwenye maambukizi ya magonjwa ya zinaa na HIV/AIDS

DALILI ZA HILI TATIZO
Maumivu wakati wa kutoa haja ndogo au kuhisi kama mkojo ni wa moto na maumivu wakati wa kufika kileleni
Kwenda haja ndogo mara kwa mara
Mtiririko wa mkojo kuwa dhaifu
Maumivu chini ya kitovu
Maumivu ya kiuno na chini ya mgongo
Maumivu ya sehemu ambayo ipo katikati ya korodani na sehemu ya kutolea choo kubwa
Maumivu ya korodani na uume
Mwanaume mwenye tatizo hili anaweza akawa na homa
IMG_20180226_105341.jpg
IMG_20180226_105341.jpg
IMG_20180226_105414.jpg
 
Kweli mkuu, wanaume tunajiona majiwe, kama vile hatutaumwa, tupendi kupimwa, hasa hivyo vidole kuingia kwenye "giza", itabidi tubadilike baada ya kupata maelezo kamilifu kuhusu tezi dume..
Thread muhimu sana hii..
 
Ugonjwa wa "kutiwa vidole" [emoji23] [emoji13] [emoji119]
 
Back
Top Bottom