brownjosephati
JF-Expert Member
- Jun 7, 2024
- 549
- 674
Atachaguliwa na nani?Kwako Rais wetu mpendwa. Nina ombi langu kwako moja tu nalo ni kuendelea kumuamini na kumteua Majaliwa Kassim pindi utakapochaguliwa 2025...
Ameamua kutokuwa na mashindanoMiaka 10 inatosha, sa hivi zaidi ya kucheka cheka anafanya nini?
Apumzike tu hata Ubunge awaachie wengine akapumzike baada ya kutumikia nafasi hiyo kwa miaka 10.Kwako Rais wetu mpendwa. Nina ombi langu kwako moja tu nalo ni kuendelea kumuamini na kumteua Majaliwa Kassim pindi utakapochaguliwa 2025.
Sababu yangu kuomba hilo ni kwa kuwa Bwana Huyu majaliwa ni kuwa huyu hana uchawa wala ujambawazi.
Na zaidi hajawahi kuwa na Makuu au kashfa yoyote wala historia yoyote mbaya na anaowaongoza zaidi ya machawa WENGINE umewatema(unawajua) ambao walikuwa wanachochea kumchukia waziri wako mkuu kwa sababu tu ya uadilifu wake.
Soma Pia: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ni mchapakazi na mzalendo, aungwe mkono
sina zaidi
Maja 2025 anatamatisha 10 yrs, anapumzika.Kwako Rais wetu mpendwa. Nina ombi langu kwako moja tu nalo ni kuendelea kumuamini na kumteua Majaliwa Kassim pindi utakapochaguliwa 2025.
Sababu yangu kuomba hilo ni kwa kuwa Bwana Huyu majaliwa ni kuwa huyu hana uchawa wala ujambawazi.
Na zaidi hajawahi kuwa na Makuu au kashfa yoyote wala historia yoyote mbaya na anaowaongoza zaidi ya machawa WENGINE umewatema(unawajua) ambao walikuwa wanachochea kumchukia waziri wako mkuu kwa sababu tu ya uadilifu wake.
Soma Pia: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ni mchapakazi na mzalendo, aungwe mkono
sina zaidi
Alipataje ubunge mwaka 2020?Kwako Rais wetu mpendwa. Nina ombi langu kwako moja tu nalo ni kuendelea kumuamini na kumteua Majaliwa Kassim pindi utakapochaguliwa 2025.
Sababu yangu kuomba hilo ni kwa kuwa Bwana Huyu majaliwa ni kuwa huyu hana uchawa wala ujambawazi.
Na zaidi hajawahi kuwa na Makuu au kashfa yoyote wala historia yoyote mbaya na anaowaongoza zaidi ya machawa WENGINE umewatema(unawajua) ambao walikuwa wanachochea kumchukia waziri wako mkuu kwa sababu tu ya uadilifu wake.
Soma Pia: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ni mchapakazi na mzalendo, aungwe mkono
sina zaidi
sawa mkuu ila anaweza kuja kimeo na kumharibia mama yetuPM, Kassimu Majaliwq, Kweli hana utata sana..japo kwakuwa atakuwa kala miaka 10 ya uPM bora aje PM mwingine..wote ni Watanzania, yeye kafanya yake atapumzika, ataishi maisha bila presha na ya thamani za kiuwaziri mkuu mstaafu
Huyu ni tofauti na yule aliyewahi litangazia taifa tena akiwa msikitini ya kwamba captain ni mzima na anaendelea vyema na majukumu yake ya kila siku halafu baadae kidogo tukaambiwa kuwa jamaa tayari ni kiongozi mkuu wa malaika?Kwako Rais wetu mpendwa. Nina ombi langu kwako moja tu nalo ni kuendelea kumuamini na kumteua Majaliwa Kassim pindi utakapochaguliwa 2025.
Sababu yangu kuomba hilo ni kwa kuwa Bwana Huyu majaliwa ni kuwa huyu hana uchawa wala ujambawazi.
Na zaidi hajawahi kuwa na Makuu au kashfa yoyote wala historia yoyote mbaya na anaowaongoza zaidi ya machawa WENGINE umewatema(unawajua) ambao walikuwa wanachochea kumchukia waziri wako mkuu kwa sababu tu ya uadilifu wake.
Soma Pia: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ni mchapakazi na mzalendo, aungwe mkono
sina zaidi
Sema mama yako, sio mama yetusawa mkuu ila anaweza kuja kimeo na kumharibia mama yetu