Ombi la Dharula : CAF ichunguze haraka vyumba vya kubadilishia nguo kwenye uwanja wa Martyrs Kinshasa

😁😁😁 Kipigo kimewachanganya sana
 
Mkuu kubali tu Simba kapewa kundi gumu. Itashangaza mkianza laumiana msipofuzu.

Tena Simba ukweli tuna bahati tu. Ingekuwa tumewekwa kwenye kundi alilomo TP Mazembe tungemaliza michezo yote bila hata droo. Tushukuru tu kuna hiyo timu ya Algeria ambayo nao bado wageni kabisa kwenye michuano hii ndo tukapata hizo point3. Ni ujinga na ujuha kujiaminisha eti akina Kagere na kina Boko wataiwezesha Simba kuishinda AS Vita a u Al Ahly. Ushabiki na kutiana moyo sawa lakini kwenye facts pia tuseme tu.
 
Ngumu kumeza hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…