Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
😁😁😁 Kipigo kimewachanganya sanaUpo uwezekano mkubwa sana kwa chumba ambacho timu yetu ya simba ilipewa kuwekewa kitu kibaya , haiwezekani Simba kucheza vile , ni lazima kutakuwa na kitu kimefanyika , hii si ile simba tunayoifahamu , napinga vibaya sana .
Na kwa hili ni lazima timu ya AS VITA ifungiwe maisha , hii michezo ya kupuliza dawa za usingizi kwenye vyumba vya timu pinzani imepitwa na wakati
Nakala - Ismail Aden Rage