Ombi la Haraka la Uchunguzi wa Ushindani wa Haki katika Ligi Kuu ya NBC

Tatizo linakuja Mkurugenzi wa Miradi wa GSM ni Rais wa Yanga.
Hivyo, hata udhamini katika hizo timu ni moja ya miradi kutoka kwenye ofisi yake ambaye yeye anahudumu pia kama kiongozi wa juu wa Yanga.

Bado tatizo hulioni?!
 
Nyaraka ya malalamiko makali, ya wanaojiita wadau wa utetezi wa usawa katika ligi kuu, imenaswa na Times Digital, ikiwa na maneno makali na yenye hisia kali.

Kwa ufupi imeanza kwa kujieleza namna hii.

KUMB:
Ombi la Haraka la Uchunguzi wa Ushindani wa Haki katika Ligi Kuu ya NBC

Mpendwa Mheshimiwa/Bibi,

Tunakuandikia kukuletea jambo linalotia wasiwasi mkubwa kuhusu uadilifu na usawa wa Ligi Kuu ya NBC nchini Tanzania.

Kama wadau na watetezi wa usawa katika nyanja ya soka, tunaamini ni muhimu kushughulikia masuala yanayoweza kuhatarisha uadilifu wa ligi.

Imefahamika kuwa mmoja wa wanahisa wa klabu ndani ya Ligi Kuu ya NBC pia anafadhili vilabu vingine sita vya ligi hiyo hiyo.

Klabu hizo ni pamoja na Namungo, Coastal Union, Ihefu, Tanzania Prisons, Singida Fountain Gate, na Young Africans, zote zikifadhiliwa kupitia kampuni tanzu au ubia wa chapa.

NIMECOPY KWA BARAKA MPENJA
 
Hao wanaolalamika wanadhamini timu ngapi?, au wanataka timu zirudi kukosa nauli za kuendesha shughuli zao?.
 
Azam wanadhamini timu zote za ligi kuu, GSM anatakiwa aongeze timu za ku dhamini zifikie 16.
 
unashangaa nini,wakati azam inafadhili timu zote ligi kuu
 
Wakuu tuwe tunaenda shule kuepusha ukoo na lawama ndogo ndogo kama hizi,

GSM yupo yanga kama mdhamini, na TFF inamtambua hivyo, sawa na alivyo Namungo kupitia Haier,

Na hakuna sheria inayokataza kudhamin team hata 100, kwa hio kama na wew unataka kadhamin zote
 
Kaongea facts,we ukimshushia heshima inaathiri nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…