Vanclassic
Member
- Sep 9, 2024
- 91
- 203
- Thread starter
-
- #21
Ni mwalimu wa shule ya msingiWewe ni mwalimu,polisi,nesi ,daktari au mtendaji wa Kijiji? Msomi hujui kujieleza ukaeleweka
Wa kiume mkuu, miaka 26Huyo mwalimu ni wakike Mkuu?
Apambane na nafsi yakeWa kiume mkuu, miaka 26
Swali la kwanza una kadi ? We ni mwenzetu baada ya kuruka viunzi hivyo kituo utabadili"Nataka wa kubadilishan kituo mimi nipo TANGA WILAYA YA HANDENI NO;0628856440~kwa mawasilano
Wakuu kwa ambae yupo tayari uyo kijana kapangiwa ualimu sehem tajwa hapo juu amcheki kwa izo no
Daah Asante mkuu apo umemliza kila kitu
- Fungua Module ya Transfer kwenye mfumo wa ESS.
- Nenda kwenye sehemu iliyowekwa jina "Transfer Exchange".
- Angalia sehemu ya "Incoming Exchange" ili kuona kama kuna mtumishi anayetaka kuhamia katika Halmashauri yako ya sasa.
- Kama kuna mtumishi anayehitaji kuhamia kwako NA wewe ungependa kwenda kwake, bofya "Request Exchange".
- Mtumishi huyo atapokea taarifa kuwa unataka kubadilishana naye.
- Akikubali kuhamia mahali ulipo, ata-"accept" ombi lako.
- Baada ya kuridhiana, taarifa zenu zitatumwa kwa Wakurugenzi wa pande zote mbili kwa ajili ya kupitishwa (approval).
- Kama hakuna aliyeomba kuhamia kwenye Halmashauri unayotaka kwenda, basi:
- Wewe ndiye utaanzisha ombi la kuhamia huko.
- Watumishi wa huko wakifungua mfumo, wataona ombi lako na kuweza kuomba kubadilishana kama wataridhika.
Huyo angekuwa anahitaji Kuja ruvuma mbinga ingekuwa safii"Nataka wa kubadilishan kituo mimi nipo TANGA WILAYA YA HANDENI NO;0628856440~kwa mawasilano
Wakuu kwa ambae yupo tayari uyo kijana kapangiwa ualimu sehem tajwa hapo juu amcheki kwa izo no
Ametarget SINGIDA, DODOMA, MOROGOROHuyo angekuwa anahitaji Kuja ruvuma mbinga ingekuwa safii