Ombi la kukutana na katibu Mkuu wa CCM au Mwenyekiti wa CCM Taifa

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2019
Posts
3,250
Reaction score
5,509
Kwa heshima na taadhima , Nina ombi la kukutana na katibu Mkuu wa CCM au Mwenyekiti wa CCM Taifa kwa lengo la kufikisha salamu zangu njema kwa Chama Cha Mapinduzi

Natanguliza shukrani za dhati kwa atakayesaidia kunifanikishia suala hili.

Kwa mawasiliano: 0715804254
 
Sasa kama lengo lako ni kukutana na katibu mkuu. Wew kwa nn usi dm kweny account zake 😂😂 uku unatafuta nn?
 
Hahahah HAO wazee presha zisha wapandraaaaaaa
 
Kwa heshima na taadhima , Nina ombi la kukutana na katibu Mkuu wa CCM au Mwenyekiti wa CCM Taifa kwa lengo la kufikisha salamu zangu njema kwa Chama Cha Mapinduzi

Natanguliza shukrani za dhati kwa atakayesaidia kunifanikishia suala hili.

Kwa mawasiliano: 0715804254
wamo humuhumu we toa pongezi/salamu watazisoma
 
Kwa heshima na taadhima , Nina ombi la kukutana na katibu Mkuu wa CCM au Mwenyekiti wa CCM Taifa kwa lengo la kufikisha salamu zangu njema kwa Chama Cha Mapinduzi

Natanguliza shukrani za dhati kwa atakayesaidia kunifanikishia suala hili.

Kwa mawasiliano: 0715804254
Mkuu mshirikishe lukasi anaweza kukusaidia
 
Pombe za kienyeji kunywewa kwa wingi na bila kula imekuwa tatizo kubwa sana kijamii.
 
Siku zote unajipambanua kama mwanaccm, lakini hajui ni kwa jinsi gani unaweza kuwapata viongozi wako wa juu hadi unakuja hapa jf kutaka upewe njia za kuwapata?!
Hata njia ya kurudi kwao unaweza kukuta haijui kwa kuzidiwa kilevi muda huu.
 
Siku zote unajipambanua kama mwanaccm, lakini hajui ni kwa jinsi gani unaweza kuwapata viongozi wako wa juu hadi unakuja hapa jf kutaka upewe njia za kuwapata?!
Maviazi na mavilaza huko mbogambogani ni wengi kama mchanga.
 
SAWA mkuu ukifanikiwa NAMI nikutanishe na sultan bin Tanganyika al haji kk mfalme WA Tanganyika mwenye kujiamulia vitu
 
Back
Top Bottom