KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 3,250
- 5,509
Sasa kama lengo lako ni kukutana na katibu mkuu. Wew kwa nn usi dm kweny account zake ππ uku unatafuta nn?Kwa heshima na taadhima , Nina ombi la kukutana na katibu Mkuu wa CCM au Mwenyekiti wa CCM Taifa kwa lengo la kufikisha salamu zangu njema kwa Chama Cha Mapinduzi
Natanguliza shukrani za dhati kwa atakayesaidia kunifanikishia suala hili.
Kwa mawasiliano: 0715804254
wamo humuhumu we toa pongezi/salamu watazisomaKwa heshima na taadhima , Nina ombi la kukutana na katibu Mkuu wa CCM au Mwenyekiti wa CCM Taifa kwa lengo la kufikisha salamu zangu njema kwa Chama Cha Mapinduzi
Natanguliza shukrani za dhati kwa atakayesaidia kunifanikishia suala hili.
Kwa mawasiliano: 0715804254
Mkuu mshirikishe lukasi anaweza kukusaidiaKwa heshima na taadhima , Nina ombi la kukutana na katibu Mkuu wa CCM au Mwenyekiti wa CCM Taifa kwa lengo la kufikisha salamu zangu njema kwa Chama Cha Mapinduzi
Natanguliza shukrani za dhati kwa atakayesaidia kunifanikishia suala hili.
Kwa mawasiliano: 0715804254
πππ lucas yeye anamjua mama tuMkuu mshirikishe lukasi anaweza kukusaidia
Hata njia ya kurudi kwao unaweza kukuta haijui kwa kuzidiwa kilevi muda huu.Siku zote unajipambanua kama mwanaccm, lakini hajui ni kwa jinsi gani unaweza kuwapata viongozi wako wa juu hadi unakuja hapa jf kutaka upewe njia za kuwapata?!
Maviazi na mavilaza huko mbogambogani ni wengi kama mchanga.Siku zote unajipambanua kama mwanaccm, lakini hajui ni kwa jinsi gani unaweza kuwapata viongozi wako wa juu hadi unakuja hapa jf kutaka upewe njia za kuwapata?!
ππMama si ndio mwenyekiti wa ccm taifa anayembubujisha machozi lukasi mkuu?πππ lucas yeye anamjua mama tu