Ombi la kurejeshewa Internet

lutemi

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2013
Posts
1,748
Reaction score
1,388
Wanaohusika na Internet tunaomba mturejeshee internet jamani.

Kumbukeni wengine wanasoma online, wengine wanafanya biashara online, wengine internet ndio chakula chao.

Naombeni sana mturudishie hii kitu inatutesa sana.

Issue ya internet mnatuonea hata wale tusiokuwa na mlengo wowote.

Wengine siasa kama police na bangi yaani kwakweli hatutaki hata kusikia mambo ya siasa ila fungueni internet haya ya kutumia VPN ni mateso sana.
 
Ujinga ni kwamba KUAMINI kuwa INTERNET imefungwa.

Kitu ambacho si KWELI.

kilichofungwa ni BAADHI ya MITANDAO YA KIJAMII tu

Huduma zote zinapatikana katika INTERNET.

kama kusoma huwa UNASOMA TWITTER? au Classroom huw inafanyika FACEBOOK?? au WhatsApp?

Tumia akil vzr

Ingia BARABARANI... kama huwez tulia
 
Acha jazba.
MaCCM mmeshinda kwa 102% alafu nyie tena ndiyo mnahasira kama kenge mwenye mimba.
Tunawakeraaaaaaaa...

Tushachukua Nchi mpaka Kata. Tokeni Bungeni at least muwe wajumbe wa Nyumba Kumi..

So far kuhusu Accessibility.. nikupe Dokezo tu.. nikuibie Siri....

Subir tar 2 saa 4 Asubuh Tunaachia Mitambo
 
We mbwiga usiishi kwa kukariri. Unavyoitumia wewe FB sivyo anavyotumia mwingine. Super Idiot.
 
We mbwinga usiishi kwa kukariri. Unavyoitumia wewe FB sivyo anavyotumia mwingine. Super Idiot.
Hahahah... Kwa mtu aliye Serious hawez Tumia FB kusomea..

Na mtu aliye Serious... Basi muda huu anatumia VPN kupata huduma mbadala..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…