Ombi la kurejeshewa Internet

Ombi la kurejeshewa Internet

Ujinga ni kwamba KUAMINI kuwa INTERNET imefungwa..

Kitu ambacho si KWELI..

kilichofungwa ni BAADHI ya MITANDAO YA KIJAMII tu

Huduma zote zinapatikana katika INTERNET..

kama kusoma huwa UNASOMA TWITTER?? au Classroom huw inafanyika FACEBOOK?? au WhatsApp??

Tumia akil vzr

Ingia BARABARANI... kama huwez tuliza
watu wanaojifanya Wana akili sana Kama huyu,almost ni vilaza kila Jambo kukurupuka tu.
 
Hahahah... Kwa mtu aliye Serious hawez Tumia FB kusomea..

Na mtu aliye Serious... Basi muda huu anatumia VPN kupata huduma mbadala.. ila KWA MTU SHOGA.. kama ww utabak kusubir Marijali tufungue Net
Tanzania kila mtu anajifanya ni "Part of TISS", eti kabisa anajinasibu na kujishirikisha na yeye kwamba ni miongoni mwa marijali waliofunga internet... Aisee!! We kama ni m'beba takataka utaendelea kubaki hivyo, acha kujipa ucheo usio na uwezo nao.
 
Ujinga ni kwamba KUAMINI kuwa INTERNET imefungwa..

Kitu ambacho si KWELI..

kilichofungwa ni BAADHI ya MITANDAO YA KIJAMII tu

Huduma zote zinapatikana katika INTERNET..

kama kusoma huwa UNASOMA TWITTER?? au Classroom huw inafanyika FACEBOOK?? au WhatsApp??

Tumia akil vzr

Ingia BARABARANI... kama huwez tuliza kende

Na Tutawavunjaa
Huna akili kuna watu wanafanya biashara kupitia social networks kama instagram, Facebook, Twitter ni ngumu ku promote ads walio wengi hawapo online utamuuzia nani. Dunia ya sasa sio kama ya zamani watu wanauza magari, nguo n.k online
 
Inaitwa "Tengeneza tatizo kisha litatuwe" ndo mpango wa sifa uliopo 😀
Na utamsikia mwenyewe akisema 'Kwanini mnawazimia internet wananchi wangu wanyoooonge kabisa,ona sasa hata vijana wanaoishi kwa kuuza miziki na movie kwny flash hawawezi kufanya kazi yao kwa sababu hakuna internet,kweli ndg zangu watanzania naomba mniombee sana hii kazi ya urais ni ngumu saaana mpk najuta kwanini nilisukumizwa huku'.
 
Huna akili kuna watu wanafanya biashara kupitia social networks kama instagram, facebook twitter ni ngumu ku promote ads walio wengi hawapo online utamuuzia nani.. dunia ya sasa sio kama ya zamani watu wanauza magari,nguo n.k online
Hahah... Umbea tu.. hakuna Cha Ads wala utopolo wowotee.

We sema watu wamekosa kufanya Umbea mtandaoni

VPN Zipo On.. wawasheee

Net tutaiachia tar 2.
 
Tanzania kila mtu anajifanya ni "Part of TISS", eti kabisa anajinasibu na kujishirikisha na yeye kwamba ni miongoni mwa marijali waliofunga internet... Aisee!! We kama ni m'beba takataka utaendelea kubaki hivyo, acha kujipa ucheo usio na uwezo nao.
Hahah naongea kama MWANACHAMA WA CCM, ikishinda CCM nimeshinda MIMI.

CCM ikifunga NET baas na MIMI pia nimehusika Kuifunga

Ccm OYEEEEEEEEEEE
 
Tanzania kila mtu anajifanya ni "Part of TISS", eti kabisa anajinasibu na kujishirikisha na yeye kwamba ni miongoni mwa marijali waliofunga internet... Aisee!! We kama ni m'beba takataka utaendelea kubaki hivyo, acha kujipa ucheo usio na uwezo nao.
Nakukumbusha tu..

Ingia BARABARANI... kama huwez tuliza kende

Tutawavunjaa
 
Yametimia
FB_IMG_1604054961119.jpg
 
Nina FURAHA sanaa yaan MKUU yaan ni nderemo na Vifijo

Leo akitangazwa Mkuu.. wetu wa NCHI mtakatifuu JPM bas ntasheherekea usiku kucha na DADA zako waliopo mitaani
hahaha una furaha gani mataga wakati umepanic kama umefumaniwa na mme wa mtu kwenye bafu la uani.
 
Mtandao upi uo uliofungwa?,mbona wababe wenye pasword zetu tunabuluza tu kote kote mbele na nyuma.
Insta.
tweeter.
fb na kwengineko watu wanaingia na wanapost kama kawaida na mambo yanasonga.
 
Back
Top Bottom