Ombi la kurejeshewa Internet

Ombi la kurejeshewa Internet

Sijaelewa, internet hakuna ama mitandao ya kijamii ndio haipo. Bila internet ungepost vipi humu
amepost kwa kutumia vpn

na mitandao ya kijamii siyo intaneti?

nitajie blog au website yoyote unayoingia bila vpn nitajie na line ya simu unayotumia ni ipi
 
Wanaohusika na Internet tunaomba mturejeshee internet jamani. Kumbukeni wengine wanasoma online, wengine wanafanya biashara online, wengine internet ndio chakula chao.

Naombeni sana mturudishie hii kitu inatutesa sana.
Mimi freelancer nilipoteza $1050
Nilikuwa sijazijua vpn vizuri
To hell all of them who slow down the internet
 
kipi kinaonyesha mimi ni fala hapo?

umeambiwa watu wanaingia kote blogs, websites mpaka social media kwa kutumia vpn

kuna baadhi ya line nadhani ttcl ndiyo unaweza kuingia blogs au websites bila vpn ila siyo social media

sasa utasemaje inteneti ipo ila social media ndiyo hakuna

na intaneti ni nini na social media ni nini?

usikurupuke
Alaf ukiitwa FALA unaanza kulaumu..

Em ingia Google Uliza nin maana ya Internet.. alaf Uliza nin Maana ya Social media.

Kwa ufupi tu Social media's ni baadhi ya Website's zinapata Access kupitia Internet (Muunganiko wa Vifaa mbalimbali vinavyoleta Mjumuiko mmoja wa Kusambaza.. kuingiza na kutoa Data)

Kumbe akil yako inawaza Internet ni Social media's.. ndio maana tunawasubiri muandamane Tuwapunguze Nchini
 
kipi kinaonyesha mimi ni fala hapo?

umeambiwa watu wanaingia kote blogs, websites mpaka social media kwa kutumia vpn

kuna baadhi ya line nadhani ttcl ndiyo unaweza kuingia blogs au websites bila vpn ila siyo social media

sasa utasemaje inteneti ipo ila social media ndiyo hakuna

na intaneti ni nini na social media ni nini?

usikurupuke
Pili.. kama unaona kuna Umuhim wa Kuingia Ktk Internet kwanini Usisajil line zinazokuwezesha wewe uingie huko bila shida?

Alternatives zipo nyingi tu.. ila kwakuw mmezaliwa kulaumu bas mtalaumu huku mnakosa vitu vya muhimu.

Mpk uambiwe kafanye hivi ndio na ww unaend hujui kujiongeza? Washa VPN ukiona kero.. kaa tulia subir mtafunguliwa Facebook yenu soon
 
Ujinga ni kwamba KUAMINI kuwa INTERNET imefungwa.

Kitu ambacho si KWELI.

kilichofungwa ni BAADHI ya MITANDAO YA KIJAMII tu

Huduma zote zinapatikana katika INTERNET.

kama kusoma huwa UNASOMA TWITTER? au Classroom huw inafanyika FACEBOOK?? au WhatsApp?

Tumia akil vzr

Ingia BARABARANI... kama huwez tulia
Kaka tunafanya mawasiliano ya kibiashara via whatsapp
 
Unatak kusema.. sms za kawaida hufanyi hayo mawasiliano?
Gmail?
Yahoo mail?
Unajua unachokiongea? Kuna watu kupitia account zao za mitandao wanaingiza mpaka mil 5 kwa mwezi! Na hawa wanapelekewa matangazo ya biashara na watu wenye bidhaa zao!
 
Kwani kuna mtu aliyetangaza kuifungia mitandao yoyote? Labda imekorofisha tu huko kwa mabeberu. Tulieni mfurahie Mitano tena ya kasi zaidi na maendeleo zaidi.
 
Kupata mawasiliano ya internet si ombi bali ni amri.

Hamuwezi kuiba kura,na bado msitoke haki za watanzania kupata na kutoa taarifa kwa njia ya mitandao ya kijamii.

Ikiwa mnafanya hivyo basi mjue mnafanya jambo la kijinga na kipumbavu kupita maelezo.
 
Unajua unachokiongea?Kuna watu kupitia account zao za mitandao wanaingiza mpaka mil 5 kwa mwezi!Na hawa wanapelekewa matangazo ya biashara na watu wenye bidhaa zao!
Na ww umeanz kudandia Tren kwa Mbele

Em niambie nan huyo anaelipwa Mil 5 kwa mwez hapa Tz na je ANALIPA kodi?
Unajua unachokiongea?Kuna watu kupitia account zao za mitandao wanaingiza mpaka mil 5 kwa mwezi!Na hawa wanapelekewa matangazo ya biashara na watu wenye bidhaa zao!
 
We technology inakupita kushoto, download program za kuweza kuipata huduma ya Internet. Watu hawana mpango wa kutumia Internet za ndani/network
 
Back
Top Bottom