NoMatterWhat
Member
- Nov 4, 2020
- 26
- 25
amepost kwa kutumia vpnSijaelewa, internet hakuna ama mitandao ya kijamii ndio haipo. Bila internet ungepost vipi humu
Mimi freelancer nilipoteza $1050Wanaohusika na Internet tunaomba mturejeshee internet jamani. Kumbukeni wengine wanasoma online, wengine wanafanya biashara online, wengine internet ndio chakula chao.
Naombeni sana mturudishie hii kitu inatutesa sana.
Alaf ukiitwa FALA unaanza kulaumu..kipi kinaonyesha mimi ni fala hapo?
umeambiwa watu wanaingia kote blogs, websites mpaka social media kwa kutumia vpn
kuna baadhi ya line nadhani ttcl ndiyo unaweza kuingia blogs au websites bila vpn ila siyo social media
sasa utasemaje inteneti ipo ila social media ndiyo hakuna
na intaneti ni nini na social media ni nini?
usikurupuke
Pili.. kama unaona kuna Umuhim wa Kuingia Ktk Internet kwanini Usisajil line zinazokuwezesha wewe uingie huko bila shida?kipi kinaonyesha mimi ni fala hapo?
umeambiwa watu wanaingia kote blogs, websites mpaka social media kwa kutumia vpn
kuna baadhi ya line nadhani ttcl ndiyo unaweza kuingia blogs au websites bila vpn ila siyo social media
sasa utasemaje inteneti ipo ila social media ndiyo hakuna
na intaneti ni nini na social media ni nini?
usikurupuke
Kaka tunafanya mawasiliano ya kibiashara via whatsappUjinga ni kwamba KUAMINI kuwa INTERNET imefungwa.
Kitu ambacho si KWELI.
kilichofungwa ni BAADHI ya MITANDAO YA KIJAMII tu
Huduma zote zinapatikana katika INTERNET.
kama kusoma huwa UNASOMA TWITTER? au Classroom huw inafanyika FACEBOOK?? au WhatsApp?
Tumia akil vzr
Ingia BARABARANI... kama huwez tulia
Unatak kusema.. sms za kawaida hufanyi hayo mawasiliano?Kaka tunafanya mawasiliano ya kibiashara via whatsapp
Unajua unachokiongea? Kuna watu kupitia account zao za mitandao wanaingiza mpaka mil 5 kwa mwezi! Na hawa wanapelekewa matangazo ya biashara na watu wenye bidhaa zao!Unatak kusema.. sms za kawaida hufanyi hayo mawasiliano?
Gmail?
Yahoo mail?
Na ww umeanz kudandia Tren kwa MbeleUnajua unachokiongea?Kuna watu kupitia account zao za mitandao wanaingiza mpaka mil 5 kwa mwezi!Na hawa wanapelekewa matangazo ya biashara na watu wenye bidhaa zao!
Unajua unachokiongea?Kuna watu kupitia account zao za mitandao wanaingiza mpaka mil 5 kwa mwezi!Na hawa wanapelekewa matangazo ya biashara na watu wenye bidhaa zao!
Daah,we kweli unaishi dunia gani?Uwe na followers milion 1 wa nini kama huingizi pesa?Na ww umeanz kudandia Tren kwa Mbele
Em niambie nan huyo anaelipwa Mil 5 kwa mwez hapa Tz na je ANALIPA kodi?