Ombi la Kurekebisha Tofauti ya "Automobile" vs "Automotive engineering" kwenye Mfumo wa Ajira portal

Ombi la Kurekebisha Tofauti ya "Automobile" vs "Automotive engineering" kwenye Mfumo wa Ajira portal

jozeexxx

New Member
Joined
Sep 13, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Mimi ni mhitimu wa Automobile Engineering / Automotive Engineering. Napenda kuwasilisha kero ifuatayo:

Kwenye mfumo wetu wa ajira Portal, kozi zetu mbili zinawekwa kama fani tofauti kabisa. Matokeo yake, sisi tuliosoma "Automobile Engineering" tunazuiliwa kuomba nafasi zilizoandikwa "Automotive Engineering", na vile wenzetu.

Ukweli ni huu:

1. Automobile Engineering ni tawi la Automotive Engineering. Misingi, masomo, na sifa za kazi ni 90% sawa.

2. Vyuo vikuu na viwanda vya kimataifa leo hutumia neno "Automotive" kama neno rasmi linalojumlisha zote mbili.

3. Tofauti hii ya mfumo inatunyima fursa nyingi za ajira pasipo sababu ya kitaaluma.

Ombi langu:

Tafadhali rekebisheni mfumo ili kozi zote mbili "Automobile Engineering" na "Automotive Engineering" zitambuliwe kama kitu kimoja, au angalau ziongezwe chaguo la "All related fields" kwenye vichujio vya kazi.

Soma Pia: Mfumo wa Ajira Portal unatutesa, mamlaka husika ifanyie kazi changamoto hii


Hii itasaidia wahitimu wengi kupata fursa sawa kwa haki.
 
Back
Top Bottom