Ombi la mtaji "mkopo"

Ombi la mtaji "mkopo"

Mpevu

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
1,803
Reaction score
175
Ninajitokeza kwenu wadau kutafuta mtaji wa biashara, sijaanza biashara ila ninao uzoefu wa kusimamia biashara ambapo najiamini iwapo nitapata mtaji. Nimebahatika kuwa na nyumba ya uwani jijini Dar yenye vyumba 3 na sebule ikiwa na kiwanja pembeni cha kujengea.
Ni eneo ambalo bado sijapata hati kwani mabenki niliyofika wanahitaji hati jambo ambalo mimi ninazo za serikali ya mtaa tu, hivyo nimeshindwa kuanza biashara yoyote.
Nahitaji kiasi cha 8m kuiwezesha kuanza na kuhimili biashara, nitakuwa na uwezo wa kurejesha kiasi cha 500,000 kwa mwezi, na hati zote za serikali nitakabidhi na pia kuandikishana hata kwa mwanasheria au mahakamani nitakuwa tayari. Nyumba na eneo vipo jijini Dar eneo la Kitunda. Kwa mawasiliano 0762123133, 0715887777, 0683123133.
Kwa aliye tayari kusaidiana, basi tuwasiliane na nipo tayari kuweka dhamana zangu hizo maana pesa ya kula haipatikani japo malazi ya uhakika yapo, tusaidiane waungwana.
 
Back
Top Bottom