Ombi la ushauri kuhusu fani na chuo kinachofaa

Ombi la ushauri kuhusu fani na chuo kinachofaa

mwanateknolojia

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
1,026
Reaction score
1,749
Salam WanaJF!

Kama kichwa cha Habari hapo juu. Nimehitimu First Degree ya ICT miaka michache ilopita. Tayari nilifanikiwa kuajiriwa. Sasa nimeamua kwenda kuongeza kitabu kwa ngazi ya Masters Degree.

Hata hivyo nina Interest na fani mbili;-

1.Masters of Science in Project Planning and Manangement

2. Masters of Science in Information Technology

Sasa niko njiapanda ,Je nichukuwe fani ipi ?

Na Je kwa kila fani ni vyuo vipi vinafaa zaidi? Maana kuna baadhi ya vyuo nimesikia maprofesor wasimamizi ni changamoto, anatumiwa corse work anakaa nayo mwezi!
 
Back
Top Bottom