Haiku
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 2,915
- 2,050
Mkuu hii ni ndoto.Angeanza na Madaraja 2014/2015 mapema iwezekanavyo,ikifika hiyo Mei 1 anatamka hiyo habari nyingine.
Mungu amjalie wepesi Mama yetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hii ni ndoto.Angeanza na Madaraja 2014/2015 mapema iwezekanavyo,ikifika hiyo Mei 1 anatamka hiyo habari nyingine.
Mungu amjalie wepesi Mama yetu.
Mjiajiri mkuu...Mimi naomba siku ya mei mosi atukumbuke tusiokuwa na ajira!
Tumepigika mno huku mtaani jamani!
Angalau na sisi tufaidi kidogo keki ya taifa kama nyinyi!
Ndoto kipindi cha Magu,sasa inaweza kuwa kweli!Mkuu hii ni ndoto.
Tatizo hatuna mitaji mkuu!Mjiajiri mkuu...
Hii ya watu wengi mno mkuuWewe upo kada gani mkuu?, tuanzie hapo kwanza
Kwa huruma za huyu mama anaweza fanya jambo. Tuendelee kumuombea tuuMimi naomba siku ya mei mosi atukumbuke tusiokuwa na ajira!
Tumepigika mno huku mtaani jamani!
Angalau na sisi tufaidi kidogo keki ya taifa kama nyinyi!
Insha'Allah!Hii ya watu wengi mno mkuu
Kwa huruma za huyu mama anaweza fanya jambo. Tuendelee kumuombea tuu