Ombi langu juu ya siku ya wafanyakazi (Mei mosi )

Wewe upo kada gani mkuu?, tuanzie hapo kwanza
Hii ya watu wengi mno mkuu
Mimi naomba siku ya mei mosi atukumbuke tusiokuwa na ajira!

Tumepigika mno huku mtaani jamani!
Angalau na sisi tufaidi kidogo keki ya taifa kama nyinyi!
Kwa huruma za huyu mama anaweza fanya jambo. Tuendelee kumuombea tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…