NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Jambo Afande.
Heshima yako mkuu Kama nilivyotanguliza salam hakika unastahili pongezi za dhati kabisa katika utendaji wako wa kazi hakuna atakayebisha kwa Hilo na hata Kama akitokea wa kubisha Basi niseme tu wazi ubongo wake unatakua umejaa "MAKAMASI"
Afande Murilo hakika unaupiga mwingi na nichukue fursa hii kupitia hili jukwaa pendwa linalo pendwa na watu wengi kumuambia Mh Raisi kuwa "Afande Murilo ana kitu na ni mchapa kazi kweli kweli"
Ombi langu kwako Afande Murilo kabla ya ufunguzi wa kombe la AFL ulitangaza rasmi na kuwataka mashabiki wasiingie uwanjani na silaha za Aina yoyote yaani silaha ndogo na silaha kubwa means that vitu vyenye ncha Kali.
Pia ulisema kuwa mashabiki wasiingie na "mavuvuzela" na "Mafataki".
Hoja yangu ipo Hapo kwenye mavuvuzela na Mafataki nafikiri kwa kua kulikua na ugeni kutoka dunia ya mpira kwa kweli kwa Hilo nakuunga mkono.
Afande Murilo tayari wageni wamekwisha ondoka mashabiki wabebe Mavuvuzela na Mafataki ili wakashangilie timu zao Kama wafanyavyo wenzetu haswa nchi za kiarabu.
Bahati nzuri wewe ni MTU wa mpira uliona kilichotokea kwenye mechi ya Yanga vs alhilal ya sudan, mechi ya Yanga vs Usma huko Algeria na Pia mechi ya wydad vs Simba sc nk.
Ninachotaka kukumbia Afande Murilo Ngoma, Mafataki na Mavuvuzela ni janja janja za timu za kiarabu kutaka kuwachanganya wachezaji wawapo uwanjani ili wajipatie matokeo kirahisi zaidi.
Afande Murilo kupitia hili jukwaa la Jamii forum nakufikishia ujumbe huu na Kama hautoupata Basi nadhan wapambe wako watakufikishia kuwa kwenye michuano ya KLABU BINGWA ACHA MASHABIKI WAINGIE NA VUVUZELA, FATAKI WASAIDIE TIMU ZAO KUPATA USHINDI.
Angalia mechi ya Al ahly vs Simba ya tarehe 24 mashabiki wa Al ahly watakavyofanya ili kuwachanganya wakina John Bocco na wenzie.
Nawasilisha hoja.