Ngengemkenilomolomo
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 316
- 549
Wakuu
Kutokana na yanayoendelea napendekeza vyama vyote vya upinzani viachane na swala la uchaguzi wawaachie wenyewe wafanye kampeni kivyao,wapige kura kivyao
Wanapata nguvu ya kufanya yoote haya kwa sababu wanajua mwsho wa siku kuna watu watakuja kucompete nae kwa ushahidi tuu
Sasa ni busara waachwe wacompete wenyewe maana kuendelea kucompete nao ni kupoteza muda tuu
Washindane wenyewe tuwaone hyo cku ya kupiga kura nani ataenda
Nb: Hakuna kijana yeyote mwenye akili timamu kabisa atanyanyuka eti anaenda kupanga msitari kupiga kura
Acha wakapige wazee wao wanaowategemea