Ombi langu kwa moderators

Ombi langu kwa moderators

shakazulu85

New Member
Joined
Jan 16, 2019
Posts
2
Reaction score
0
Habari wakuu, kwanza nitangulize samahani kwenu.

Pili naomba kufikishiwa ujumbe wangu kwa ma mods.

nimejirejister tangu tarehe 16-1-2019, lakini cha kushangaza mpka leo bado account yangu haijawa active kwa maana siwezi kupost wala kucoment ktk uzi wowote na jukwaa lolote zaid ya hapa. Na hapa pia sitaweza kucoment.

Hvyo ombi langu kwenu wakuu, mnisaidie kumshutua moderator anikumbuke maana nakosa faida kubwa.

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu kwa msaada mtakaonipa
IMG_20190218_183114.JPG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom