Ombi langu kwa TAMISEMI juu ya ajira kwa waalimu wapya.

Ombi langu kwa TAMISEMI juu ya ajira kwa waalimu wapya.

stanb

Senior Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
153
Reaction score
19
Kwanza kabisa TAMISEMI hamkua na ulazima wa kutoa ahadi ya ajira kwa walimu wapya ifikapo 25/04/2015. Tamko mlilolitoa limeathiri watu wengi kisaikolojia, hivyo mkiwa kama taasisi yenye dhamana kubwa katika nchi yetu hii ya amani hamna budi kuita upya waandishi wa habari na kuomba radhi kwa kile kilichotokea tofauti na matarajio ya wengi. Hivyo basi mtoe sababu ya sintofahamu hii na kisha mseme kile mnachodhani kitakua muafaka wa ajira hizi. Natanguliza shukrani za dhati.
 
TAMISEMI hii ya tanzania? labda ka ingekua china uko, apa tz hakuna uwajibikaji ndo maana ata makosa ya waz kabsa kiongoz anaeza fanya lkn no kuomba radhi, pole mvuja jasho mwenzangu tuendelee kuvumilia kuwa watanzania na c kujivunia ka wenzetu wa australia
 
kwa stye hii ya uongozi ya kutokuwajibika tutapata shida kufikia malengo ya milenia.
 
jiajir mkuu ukitaka kuajiriwa serikali utasubir mpaka nan atakaporudi,mimi nimemaliza chuo 2007 mpaka leo sijaajiliwa na nimeamua kujiajiri mwenyewe
 
jiajir mkuu ukitaka kuajiriwa serikali utasubir mpaka nan atakaporudi,mimi nimemaliza chuo 2007 mpaka leo sijaajiliwa na nimeamua kujiajiri mwenyewe
kama ulisomea ujasiriamali ulitaka uajiriwe na nani! Mimi siwez jiajiri wakati watoto wa wakulima hawana walimu.
 
Aheri kuzaliwa mbuzi marekani kuliko binadamu Tanzania
 
kuwa mzalendo wewe...bumija. mambo co rahc kama unavyozan.....ajira mtapata tu.
 
ucjarb kuisart nchi ako kwa ktu kidogo..........kama mpaka sasa ujawai ckia vita....je somalia ,burundi, wasemeje?. unaweza furahia ajira bla aman....ebu tuwe makini tunavyo iongelea nchi yetu TANZANIA.
 
Back
Top Bottom