kwa stye hii ya uongozi ya kutokuwajibika tutapata shida kufikia malengo ya milenia.TAMISEMI hii ya tanzania? labda ka ingekua china uko, apa tz hakuna uwajibikaji ndo maana ata makosa ya waz kabsa kiongoz anaeza fanya lkn no kuomba radhi, pole mvuja jasho mwenzangu tuendelee kuvumilia kuwa watanzania na c kujivunia ka wenzetu wa australia
kama ulisomea ujasiriamali ulitaka uajiriwe na nani! Mimi siwez jiajiri wakati watoto wa wakulima hawana walimu.jiajir mkuu ukitaka kuajiriwa serikali utasubir mpaka nan atakaporudi,mimi nimemaliza chuo 2007 mpaka leo sijaajiliwa na nimeamua kujiajiri mwenyewe
Aheri kuzaliwa mbuzi marekani kuliko binadamu Tanzania