naombeni msaada wenu wana jamii
mimi ni mwanafunzi niliyehitimu kidato cha nne mwaka jana(2012) na kupata matokeo ambayo naamini kwa asilimia mia moja(100%) siyo yakwangu, si kwamba nimepoteza imani na uogozi wa wizara tu; bali hata mchakato mzima mpaka kupelekea aina hii ya matokeo kwangu na kwa nchi nzima pia. OMBI LANGU KWENU NAWEZAJE KUAPILI KWA AJILI YA MATOKEO YANGU ILI YAANGALIWE UPYA