Ombi langu kwenu wana jamii, mimi kama muhanga katika tatizo hili

Ombi langu kwenu wana jamii, mimi kama muhanga katika tatizo hili

matatizo ye2

New Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
2
Reaction score
0
naombeni msaada wenu wana jamii
mimi ni mwanafunzi niliyehitimu kidato cha nne mwaka jana(2012) na kupata matokeo ambayo naamini kwa asilimia mia moja(100%) siyo yakwangu, si kwamba nimepoteza imani na uogozi wa wizara tu; bali hata mchakato mzima mpaka kupelekea aina hii ya matokeo kwangu na kwa nchi nzima pia. OMBI LANGU KWENU NAWEZAJE KUAPILI KWA AJILI YA MATOKEO YANGU ILI YAANGALIWE UPYA
 
Nenda wizarani utapatiwa fomu ujazee kisha utalipia huduma unayoitaka. we sio mtu wa kwanza kuomba usahihisho wa mitihani yameshatokea kwa wengi hapo awali.
usihofu ni haki yako kutaka kupata ihakiki wa kile unachofikiria.
 
Back
Top Bottom