njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Siyo mimi tu washabiki wengi wa Simba wamestushwa na baadhi ya sura walizoziona leo kwenye msafara wa kwenda Egypt
Kwa kuwa wenye maamuzi wameamua team iendelee na hekaheka za kutegemea wakimbiaji toka pembeni na siyo M CF wenye akili timamu basi nawaomba wapenzi wa simba mtakaojitokeza tarehe 8/8/22 kwenye Simba day MUWAZOMEE KWA NGUVU MAGARASA hayo wakati yakitajwa ili uongozi ujue kwamba wamelazimisha kurudia kosa la kuwa na ushambuliaji butu makusudi na hayo magarasa ni ya kwao siyo ya wana simba
Huruma sana kwa kocha mpya labda kama style yake ni ya kutegemea hekaheka za kina Kibu Deniss lakini kama ana matarajio ya kucheza na strikers 2 mbele wenye uwezo na akili timamu ajiandae kufukuzwa mapema ingawa siyo kosa lake