Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa upande wangu nilikuwa nahisi mambo mawili ambayo ni tatizo Simba ni fedha na uongozi. Nashukuru sasa kujua mojawapo ni hakika sasa kuwa fedha ni shida pale Simba.Kitu ambacho baadhi ya Mashabiki hawajui, wale wachezaji wa mbele wote wamebakisha msimu mzima Ili uwaondoe unahitaji kuwalipa stahiki zao zote Tena wengine itabidi uwalipe na fidia ya ku terminate mikataba Yao.
Sasa inatakiwa ujue Kila mchezaji kati yao analipwa kiasi gani uzidishe Kwa msimu mzima, pamoja na stahiki zingine zote za ki mkataba.
Kingine utafute mbadala sahihi na utambue washambuliaji wote hatari kwenye soko wao ni keki na wanagombewa.
Timu zinazo wamiliki wachezaji nyota nazo zinataka kuwabakisha, timu zingine nazo zinawagombea.
Tatizo lililopo Simba kulingana na Hali ni fedha za kulipa wanao vunjiwa mikataba na fedha za kununua wapya.
Bwana njaalikali ngoja nikusaidie jambo, Mimi ni mwananchi lakini kwenye fact sipepesi macho, Uyo kagere na mugalu bado wana mikataba ya mwaka mmoja mmoja kila mtu, simba kwa sasa awana pesa ya kuvunja mikataba yao, wameona kwakuwa caf imeruhusu kusajili wachezaji 40 watakaotumika kwenye michuano ya kimataifa tu nafikiri wameamua wawaache wawe wanatumika michuano iyo tu kuliko kuvunja mikataba yao, na timu ikiondolewa kwenye iyo michuano watajua namna nyingine ya kumalizana nao, hivyo basi tatizo kubwa hapo ni pesa ya kuvunja iyo mikatabaSiyo mimi tu washabiki wengi wa Simba wamestushwa na baadhi ya sura walizoziona leo kwenye msafara wa kwenda Egypt
Kwa kuwa wenye maamuzi wameamua team iendelee na hekaheka za kutegemea wakimbiaji toka pembeni na siyo M CF wenye akili timamu basi nawaomba wapenzi wa simba mtakaojitokeza tarehe 8/8/22 kwenye Simba day MUWAZOMEE KWA NGUVU MAGARASA hayo wakati yakitajwa ili uongozi ujue kwamba wamelazimisha kurudia kosa la kuwa na ushambuliaji butu makusudi na hayo magarasa ni ya kwao siyo ya wana simba
Huruma sana kwa kocha mpya labda kama style yake ni ya kutegemea hekaheka za kina Kibu Deniss lakini kama ana matarajio ya kucheza na strikers 2 mbele wenye uwezo na akili timamu ajiandae kufukuzwa mapema ingawa siyo kosa lake
Akili na mawazo ya kitumwa na kipumbavu kwamba wachezaji wazawa ni magarasa, simba inao kina mkude, inao kina KAPOMBE, Hussein inaye Manula, Boko walisajiliwa kutoka wapi? Simba iliyowahi kuitoa ZAMALEK pale Misri ilikuwa na kina PAWASA,ULIMBOKA,JUMA KASEJA walisajiriwa kutoka wapi? Akili zile ukipanda papai likazaa sana linaitwa la kizungu.Siyo mimi tu washabiki wengi wa Simba wamestushwa na baadhi ya sura walizoziona leo kwenye msafara wa kwenda Egypt
Kwa kuwa wenye maamuzi wameamua team iendelee na hekaheka za kutegemea wakimbiaji toka pembeni na siyo M CF wenye akili timamu basi nawaomba wapenzi wa simba mtakaojitokeza tarehe 8/8/22 kwenye Simba day MUWAZOMEE KWA NGUVU MAGARASA hayo wakati yakitajwa ili uongozi ujue kwamba wamelazimisha kurudia kosa la kuwa na ushambuliaji butu makusudi na hayo magarasa ni ya kwao siyo ya wana simba
Huruma sana kwa kocha mpya labda kama style yake ni ya kutegemea hekaheka za kina Kibu Deniss lakini kama ana matarajio ya kucheza na strikers 2 mbele wenye uwezo na akili timamu ajiandae kufukuzwa mapema ingawa siyo kosa lake
Ao wachezaji wa nyumbani wanahitaji fedha, ndio maana Dili la Mpole limeshindikana tatizo ni fedha.Akili na mawazo ya kitumwa na kipumbavu kwamba wachezaji wazawa ni magarasa, simba inao kina mkude, inao kina KAPOMBE, Hussein inaye Manula, Boko walisajiliwa kutoka wapi? Simba iliyowahi kuitoa ZAMALEK pale Misri ilikuwa na kina PAWASA,ULIMBOKA,JUMA KASEJA walisajiriwa kutoka wapi? Akili zile ukipanda papai likazaa sana linaitwa la kizungu.
BIASHARA ni zaidi ya pesa , jaribu kuangalia hata huko Ulaya, kuna wakati timu kubwa zinapambana na deal zina shindikana. Nakama umetambua tatizo ni hela wewe umefanya nini kuisaidia timu yako? Umesahau hii ni timu ya wanachama? Kanunue mchezaji mmoja basi uisaidie kamati ya usajili. Jezi tu ya elfu 30 hutaki kununua au huwezi kununua hela zinatoka wapi? uwanjani huendi unatizama mechi vibandani hela timu inapataje hela?Ao wachezaji wa nyumbani wanahitaji fedha, ndio maana Dili la Mpole limeshindikana tatizo ni fedha.
Hao wachezaji wote wanesajiliwa na kicha mpya, ni matakwa ya kocha wetuSiyo mimi tu washabiki wengi wa Simba wamestushwa na baadhi ya sura walizoziona leo kwenye msafara wa kwenda Egypt