Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Wanabodi
Wanabodi,
Hili ni ombi mahsus na maalum kwa mtu mahsus na maalum, hivyo hii thread sio thread ya watu wote bali ni thread mahsus maalum kwa mtu mahsus maalum kwa lengo mahsus maalum la
kutumia ujumbe mahsus maalum kabisa kwa mtu wetu mahsus maalum kabisa.
Mimi nikiwa mwandishi wa habari, kuna vitu vibaya naviona na vina matokeo mabaya nimeuyashuhudia kwenye chaguzi zetu zote za vyama vingi, zimekuwa zikiendeshwa kwa utaratibu na mtindo wa "Mutatis Mutandis"
Hivyo sasa tunapokwenda kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu wa 2025 naomba kutoa ombi mahsus na maalum na angalizo muhimu kwa mhusika mkuu who matters most na uchanguzi huu wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, uendeshwe kwa kutumia kanuni ya Kilatini ya "ceteris paribus" na sio kuendelea kutumia hizi kanuni zetu za kawaida za kila siku za "Mutatis Mutandis"!.
Nimesikia sauti, "voices from within" ikiniambia kuwa tukiendelea kufanya chaguzi zetu kwa Mutatis Mutandis, hizi, kuna jambo fulani litatokea tena kama lilivyotokea baada ya mutatis mutandis ya uchagizi wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu wa 2020.
Mhusika mkuu wa uchanguzi huu, who matters most akikubali uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2024 na uchaguzi Mkuu ujao wa 2025, kuendeshwa kwa ceteris paribus , atabarikiwa sana na taifa letu litabarikiwa wakiwemo viongozi wetu, watabarikiwa sana, na sisi wananchi wa kawaida pia, tutabarikiwa na kupata neena na mafanikio makubwa, na nchi yetu kupata ustawi mkubwa wa kisiasa, kiuchumi na kijamii.
Lakini tukiendelea kutumia huu mtindo wetu wa kawaida wa siku zote wa mutatis mutandis, taifa letu tutalaaniwa na viongozi wetu watalaaniwa na kuadhibiwa!, and you never know ni adhabu gani viongozi wetu wakuu wataadhibiwa this time around!.
Mungu Mbariki Rais Samia na watendaji wake wapate uwezo huo katika YEYE, watumie "Ceteris Peribus" kwa vyama vyote na sio kuendeleza "Mutatis Mutandis" ya chama kimoja!.
NB. Sijaweka ufafanuzi wa maneno "Ceteris Peribus" na "Mutatis Mutandis" sio kwa bahati mbaya, nimefanya hivi kwa makusudi mazima, kwa sababu ujumbe huu ni ujumbe mahsus maalum kwa mtu mahsus na maalum na ambaye mattes most namjua na huwa anatembelea sana tuu, humu jf na anamuita Mkuu Max, "mwanangi".
Sasa kwa vile mtu huyo, anayajua maneno hayo. Wengine wote hata msipo yajua, kitu muhimu ni ujumbe umemfikia mhusika.
Hata Mungu alipotaka kumfikishia ujumbe maalum mfalme Belshaza, alimtumia kiganja cha mkono kikaandika kwenye ukuta wake, "Mene Mene Tekeli na Peresi", tukiendelea kufanya chaguzi zetu kwa hizi Mutatis Mutandis badala ya kutumia.
Ceteris Paribus, then amini nakuambia kuna siku Mene Mene Takeli na Peresi itakuja kuishukia Tanzania na kumshukia mtu huyo mahsus na maalum.
Mungu ibariki Tanzania.
Nawatakia Weekend Njema,
Paskali,
Washington DC
Marekani

- Ombi kama hili kwanza nililitoa mwaka 2019 Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa!
- Mnaonaje Uchaguzi wa Serikali za Mtaa Ufanywe Siku Moja na Uchaguzi Mkuu na Usimamiwe na Tume Huru ya Uchaguzi? Samia Atabarikiwa Sana!
- Mabadiliko ya Sheria ya Uchaguzi: Je Tupige Ndege Wawili kwa Jiwe Moja kwa Uchaguzi Serikali za Mitaa/Mkuu, Ufanyike Siku Moja au Tuendeleze Mazoea?
- Madudu ya ajabu ya ubatili wa Katiba yetu, mabadiliko "fake" ya sheria na Tume ya Uchaguzi. Rais Samia asilaumiwe kwasababu yeye sio mwanasheria!
- Kuelekea 2025 - Kwa kauli ya Nape kuhusu chaguzi zetu, anastahili kulaumiwa au kupongezwa kwa kuusema ukweli?
- Kuelekea 2025 - Baada ya Mtu Kusema Ukweli Kuhusu Uchaguzi Kuendeshwa kwa Mutatis Mutandis, Tunaomba Uchaguzi Mkuu wa 2025 Uendeshwe kwa Ceteris Peribus!
- Mabadiliko ya Sheria Bila Mabadiliko ya Katiba,Sawa na Kula Bila Kunawa!. Je Watanzania Tuna Haraka Sana na Uchaguzi Hadi Tukimbilie Kula Bila Kunawa?