Pre GE2025 Ombi Maalum, Kwa Mtu Maalum Achana na Hizi Mutatis Mutandis Kwenye Chaguzi za SM2024 & U/Mkuu2025, Tumia Ceteris Peribus, Utabarikiwa, Tutabarikiwa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Pole sana Mkuu Don Moen ,Kwanza asante kuchangia uzi wangu, ila mabandiko yangu humu, huwa yana vimo mbalimbali na tofauti tofauti,kuna mabandiko ya wote na manadiko ya wakubwa tuu na kuna mabandiko ya ma GT
only。

Mfano bandiko hili ni only kwa watu wanaojua mutatis mundandis na ceteris peribus, hivyo ukiwa ni kilaza fulani, bandiko kama hili linakuwa limekuzidi kimo,unajikuta umetoka kapa,pole sana!。

Ushauri wa bure kwako,ukikutana na bandiko limekuzidi kimo,take time kujielemisha,or save your time, jipitie zako,nenda kwenye mabandiko ya kimo chako。
P
Nimeelewa sana unachokilenga kumlengablkn hata yeye Hana akili kama hiyo ya kuelewa.
Tumia ligha ya kueleweka vinginevyo wewe ni muoga tu
 
sio uaga bali kuna vitu very serious,unamweleza mtu kwa kumnongoneza sio lazima kila mtu asikie!。
Hata home kuna vitu vingine vinasubiri watoto walale。。。
P
 
Pole sana Mkuu Don Moen ,Kwanza asante kuchangia uzi wangu, ila mabandiko yangu humu, huwa yana vimo mbalimbali na tofauti tofauti,kuna mabandiko ya wote na manadiko ya wakubwa tuu na kuna mabandiko ya ma GT
only。

Mfano bandiko hili ni only kwa watu wanaojua mutatis mundandis na ceteris peribus, hivyo ukiwa ni kilaza fulani, bandiko kama hili linakuwa limekuzidi kimo,unajikuta umetoka kapa,pole sana!。

Ushauri wa bure kwako,ukikutana na bandiko limekuzidi kimo,take time kujielemisha,or save your time, jipitie zako,nenda kwenye mabandiko ya kimo chako。
P
Dah.....umetumia sledge hammer kuua nyenyere...!
 
Back
Top Bottom