Don Moen
JF-Expert Member
- Nov 12, 2020
- 1,636
- 3,142
Nimeelewa sana unachokilenga kumlengablkn hata yeye Hana akili kama hiyo ya kuelewa.Pole sana Mkuu Don Moen ,Kwanza asante kuchangia uzi wangu, ila mabandiko yangu humu, huwa yana vimo mbalimbali na tofauti tofauti,kuna mabandiko ya wote na manadiko ya wakubwa tuu na kuna mabandiko ya ma GT
only。
Mfano bandiko hili ni only kwa watu wanaojua mutatis mundandis na ceteris peribus, hivyo ukiwa ni kilaza fulani, bandiko kama hili linakuwa limekuzidi kimo,unajikuta umetoka kapa,pole sana!。
Ushauri wa bure kwako,ukikutana na bandiko limekuzidi kimo,take time kujielemisha,or save your time, jipitie zako,nenda kwenye mabandiko ya kimo chako。
P
Tumia ligha ya kueleweka vinginevyo wewe ni muoga tu