Uchaguzi 2020 Ombi maalum kwa Muhashamu Askofu Bangoza, PhD

Sio askofu wa Taifa,ni askofu katika kanisa lake ,nchi yetu hatuna askofu wa Taifa kwa sababu serikali haina dini
Amejipambanua, kama alivyofanya baba wa taifa, haina maana wengine siyo mababa
 
Taifa la kikristu ... lenye Askofu wa Taifa[emoji3][emoji3]

Hawa sio wa kuwapa nchi....

Viva Magu 2020 to 2030
Mods ikiwapendeza naomba heading yangu ibakie kama nilivyoiandika. OMBI MAALUMU KWA ASKOFU WA TAIFA, MUHASHAMU ASKOFU BANGOZA, PHD
 
Unamfananisha na baba wa Taifa hata kwa kumtolea mfano?

huyo ni kiongozi wa wala kitimoto tu

Nyerere alikuwa kiongozi wa wote katika utawala wa nchi.

Viva Magu 2020 to 2030
Amejipambanua, kama alivyofanya baba wa taifa, haina maana wengine siyo mababa
 
Unamfananisha na baba wa Taifa hata kwa kumtolea mfano?

huyo ni kiongozi wa wala kitimoto tu

Nyerere alikuwa kiongozi wa wote katika utawala wa nchi.

Viva Magu 2020 to 2030
Jipambanue mku, iliyo yako sifa tutakupa
 
Kwa nini anahubiri siasa?. Si amalize kwanza kuhubiri Neno analodai kuwa ameitwa kwa ajili yake? Si akawahudumie wale watoto wake alowazaa nje ya ndoa huku akiwa kwenye hio nafasi ya "askofu" mhuburi wa siasa?

Alishafundisha Isaya? Yeremia? Ezekiel? Daniel? Matayo? Marko? Luka? Yohana? Naam, vitabu vyote 66 vya bibli?

Huyo ni mbwamwitu tu ndani ya ngozi ya kondoo mwenye kutema nyongo na pakanga ya shetani na kuifunika ndani ya sukuri na kuwaongoza wengi kwa yule Mwovu.
 
Angefsnya kongamano la.
kusifia mashetani isingekuwa siasa.
 
huyu Baba ana Mungu ndani yake...

kwa jiwe alivyo na mavisasi

angekuwa sasa anaandikia kwenye kambi za Benako kama mkimbizi wa hiyari
 
Back
Top Bottom