Ombi maalum: Rais Magufuli naomba ifute Taifa Stars na TFF

Lile likiwanja limejengwa kwa hela nyingi hata sion faida yake
 
ujerumani iliichapa timu kubwa duniani magoli 7 ilifutwa ile timu?

tena baada ya kuambizana zinatosha,lile ni taifa kubwa la soka!
Hawa wacheza mdako wamepata pa kusemea!
Hayo ni matokeo tu ya mpira!..timu bora imeshinda!
Nukta.
 
Hata Brazil walipigwa saba na Wajerumani.

Tanzania bado tuko nyuma sana katika kila kitu.

Mpaka tuwache uhasidi ndiyo tutaanza kuendelea kwenye kila kitu.

Tuongee kutoka moyoni na si mdomoni.
 
Watanzania waliwakamata waalgeria wakiwa na maboksi 7 ya magoli ambayo yameshafungwa Tayari...unategemea nini hapo
 
Hata Brazil walipigwa saba na Wajerumani.

Tanzania bado tuko nyuma sana katika kila kitu.

Mpaka tuwache uhasidi ndiyo tutaanza kuendelea kwenye kila kitu.

Tuongee kutoka moyoni na si mdomoni.

Vipi kamati ya Ushindi ya CCM ikipewa hii timu si itashinda mfululizo kwa miaka zaidi ya Hamsini...! maana ccm ni noumer....

Kuna mdau thread yake imefutwa ila alipendekeza Taifa stars igeuzwe Bendi ya Muziki
 
Hata Brazil walipigwa saba na Wajerumani.

Tanzania bado tuko nyuma sana katika kila kitu.

Mpaka tuwache uhasidi ndiyo tutaanza kuendelea kwenye kila kitu.

Tuongee kutoka moyoni na si mdomoni.

nikionaga comments zako fasta akili inaniambia..
..."umechelewa jamvini,karamu ishaliwa!"
respect!
 
Vipi kamati ya Ushindi ya CCM ikipewa hii timu si itashinda mfululizo kwa miaka zaidi ya Hamsini...! maana ccm ni noumer....

Kuna mdau thread yake imefutwa ila alipendekeza Taifa stars igeuzwe Bendi ya Muziki

Usichanganye michezo na siasa. Hutofanikiwa wewe kama ambavyo hajafanikiwa babuyo.

Babuyo alikuwa anacheza mchezo gani zaidi ya kuchezea korodani zake tu?
 
Yale mabomu ya Ufaransa bora wangeilipua hii timu Tu tupumzike. Pumbavu kabisa
 
Usichanganye michezo na siasa. Hutofanikiwa wewe kama ambavyo hajafanikiwa babuyo.

Babuyo alikuwa anacheza mchezo gani zaidi ya kuchezea korodani zake tu?

Babuyo ndio Nani? au unamaanisha Berlusconi wa Italia na AC Milan? au Jakaya na Stars? maana korodani ndio tezi dume unamaanisha?
 
Hata Brazil walipigwa saba na Wajerumani.

Tanzania bado tuko nyuma sana katika kila kitu.

Mpaka tuwache uhasidi ndiyo tutaanza kuendelea kwenye kila kitu.

Tuongee kutoka moyoni na si mdomoni.

...aisee; kumbe hua unaongea sana kutoka mdomoni na sio moyoni?!
 
Hpo ukute una familia inakupeleka mpute mpute halafu wewe ni shabiki tena wa Arsenal
 
Safi sana Algeria, mmefanya kazi nzuri sana. Nimefurahi sana Tanzania kufungwa. Tanzania tumekaririshwa hapa Kazi tu, halafu Akili sifuri.
Kweli namba zinasomeka.
 
Jesha uko wapi tena?
Idadi ya Magoli imezidi idadi halisi, Kadi zilikuwa nyingi kuliko fouls, mashabiki walijaa sana uwanjani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…