Ombi maalumu: Tafadhali mwenye mawasiliano na Mjumbe yoyote aliyeteuliwa na Rais kupitia Upya misururu ya Kodi TRA anifikishie ujumbe huu muhimu

World light

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2022
Posts
382
Reaction score
352
Ukinunua dai Risiti,
Ukiuza toa Risiti
.

Mhe Mjumbe habari,

Kwanza, natumia jukwaa hili kukupongeza wewe binafsi pamoja na wenzako wote kwa kuaminiwa na kuchaguliwa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa wajumbe wa Kamati hii maalum ya kusikiliza sauti za wasiokuwa na sauti juu ya Kodi mbalimbali kandamizi hapa nchini.

Mhe Mjumbe, TRA kupitia Sheria mbovu wamekuwa wakiwaonea wafanyakazi wa Tanzania kupitia pay as you earn [PAYE] hasa pale mfanyakazi anapopata matatizo kazini na baadae kumaliza mgogoro ule na mwajiri wake kisha kuondolewa kazini na mwajiri huyo kwa mujibu wa Sheria na Mwajiri kulazimika kumlipa mishahara yake yote iliyopita au ijayo kwa mkupuo ( Lump sum)

Mhe Mjumbe, Mapato anayoyapa mfanyakazi huyu asiye na ajira baada ya kufukuzwa kazi hayana tofauti kabisa na "PENSION FUND" hasa pale Mwajiri anapogoma kumrejesha kazini Kwa mujibu wa Sheria kwani anayo hiari ya kufanya hivyo.

Mhe mjumbe, Ile Mishahara anayolipwa kwa Mkupuo ndio pesa pekee anayobakiwa nayo mfanyakazi huyu wa Kitanzania baada ya kukosa ajira maana yake hiyo ni sawa kabisa na PENSION FUND kwanini ikatwe Kodi?

Mhe Mjumbe, Ni kwanini basi TRA wanawatoza wafanyakazi hawa Kodi tena ya kiasi cha asilimia 30 ya kiasi watakacholipwa kama malimbikizo kwa pamoja au Mkupuo (lump sum).

Kwanini 30% kwa mtu mwenye Mshahara wa laki 4 iliyokusanywa?

Mhe Mjumbe,
Tutafakari hili vizuri, Kweli mtu anayelipwa tupesa twake tena pengine Mwajiri wake kaamua kuachana nae ili vimsaidie kufungua kabishara ili ale na wanae kisha afe nyie mnagawana nae karibu nusu kwa nusu lazima tuwe na huruma hasa kwa hawa wanyonge tunaowaongoza waliokosa ajira.

Mfanyakazi akifukuzwa kazi hana tofauti na yule aliyestaafishwa kwa lazima kwa maoni ya wengi hatakiwi kukatwa Kodi ya aina yoyote kwani anacholipwa hakina tofauti na Pension funds.

Nashauri Kodi hii iondolewe Mfanyakazi akishinda kesi na Mwajiri akagoma kumrejesha kazini basi Mishahara yake isikatwe Kodi kwani mapato hayo hayana tofauti na Pension funds.

Asante naomba kuwasilisha.

Mungu awaongoze vema ili mlisaidie Taifa na Rais wetu.
 
JamiiForums

Ukinunua dai Risiti,
Ukiuza toa Risiti
.

"" "" "" "" "" "" "" "" "" "

Mhe Mjumbe habari,
Kwanza, natumia jukwaa hili kukupongeza wewe binafsi pamoja na wenzako wote kwa kuaminiwa na kuchaguliwa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa mjumbe wa Kamati hii maalum ya kusikiliza sauti za wasiokuwa na sauti juu ya Kodi mbalimbali kandamizi hapa nchini.

Mhe Mjumbe, TRA kupitia Sheria mbovu wamekuwa wakiwaonea wafanyakazi wa Tanzania kupitia pay as you earn [PAYE] hasa pale mfanyakazi anapopata mgogoro kazini na baadae kuumaliza mgogoro ule na mwajiri wake kisha kurejea kazini au kuondolewa kazini na mwajiri huyo kwa mujibu wa Sheria kulazimika kumlipa mishahara yake yote iliyopita au ijayo kwa mkupuo.

Mhe Mjumbe, Mapato anayoyapa mfanyakazi huyu asiye na ajira baada ya kufukuzwa kazi hayana tofauti kabisa na "PENSION FUND" hasa pale Mwajiri anapogoma kumrejesha kazini Kwa mujibu wa Sheria kwa anayo hiari ya kufanya hivyo.

Mhe mjumbe, Ile Mishahara anayolipwa kwa Mkupuo ndio pesa pekee anayobakiwa nayo mfanyakazi huyu wa Kitanzania baada ya kukosa ajira maana yake hiyo ni sawa kabisa na PENSION FUND.

Mhe Mjumbe, Ni kwanini basi TRA wanawatoza wafanyakazi hawa Kodi tena ya kiasi cha asilimia 30 ya mishahara yao wanayopokea kwa pamoja | Mkupuo (lumpsum) ikiwa ni baada ya kumaliza tofauti zao na waajiri wao.

Mhe Mjumbe, Tutafakari hili vizuri, Kweli mtu anayelipwa tupesa twake tena pengine Mwajiri wake kaamua kuachana nae ili vimsaidie kufungua kabishara ili ale na wanae kisha afe nyie mnagawana nae karibu nusu kwa nusu lazima tuwe na huruma hasa kwa hawa wanyonge tunaowaongoza waliokosa ajira.

Nashauri Kodi hii iondolewe Mfanyakazi akishinda kesi na Mwajiri akagoma kumrejesha kazini basi Mishahara yake isikatwe Kodi kwani mapato hayo hayana tofauti na Pension funds.

Asante naomba kuwasilisha.

Mungu AWAONGOZE VEMA ili mlisaidie Taifa na Rais wetu.

Ni hoja ambayo inahitaji kutazamwa...
 
Huu ni uonevu wa kiwango Cha Juu sana, Sasa kama ni Kodi kwanini wasikate 9% ya Mama Samia wakate 30%?
 
Hii kitu hata Mimi huwa nashangaa sana mfanyakazi anapolipwa lupsum baada ya kushinda kesi hayo yanapashwa kuwa kama Pension sio mapato Kwakuwa kama ni PAYE huyu mtu hana Mshahara tena.

Hili liangaliwe nani napendekeza hii Kodi iondolewe
Tatizo hili kundi Lina watu ambao wengi wao Hali zao ni mbaya sana na hawana wa kuwatetea
 
JamiiForums

Ukinunua dai Risiti,
Ukiuza toa Risiti
.

Mhe Mjumbe habari,
Kwanza, natumia jukwaa hili kukupongeza wewe binafsi pamoja na wenzako wote kwa kuaminiwa na kuchaguliwa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa mjumbe wa Kamati hii maalum ya kusikiliza sauti za wasiokuwa na sauti juu ya Kodi mbalimbali kandamizi hapa nchini.

Mhe Mjumbe, TRA kupitia Sheria mbovu wamekuwa wakiwaonea wafanyakazi wa Tanzania kupitia pay as you earn [PAYE] hasa pale mfanyakazi anapopata mgogoro kazini na baadae kuumaliza mgogoro ule na mwajiri wake kisha kurejea kazini au kuondolewa kazini na mwajiri huyo kwa mujibu wa Sheria kulazimika kumlipa mishahara yake yote iliyopita au ijayo kwa mkupuo.

Mhe Mjumbe, Mapato anayoyapa mfanyakazi huyu asiye na ajira baada ya kufukuzwa kazi hayana tofauti kabisa na "PENSION FUND" hasa pale Mwajiri anapogoma kumrejesha kazini Kwa mujibu wa Sheria kwa anayo hiari ya kufanya hivyo.

Mhe mjumbe, Ile Mishahara anayolipwa kwa Mkupuo ndio pesa pekee anayobakiwa nayo mfanyakazi huyu wa Kitanzania baada ya kukosa ajira maana yake hiyo ni sawa kabisa na PENSION FUND.

Mhe Mjumbe, Ni kwanini basi TRA wanawatoza wafanyakazi hawa Kodi tena ya kiasi cha asilimia 30 ya mishahara yao wanayopokea kwa pamoja | Mkupuo (lumpsum) ikiwa ni baada ya kumaliza tofauti zao na waajiri wao.

Mhe Mjumbe, Tutafakari hili vizuri, Kweli mtu anayelipwa tupesa twake tena pengine Mwajiri wake kaamua kuachana nae ili vimsaidie kufungua kabishara ili ale na wanae kisha afe nyie mnagawana nae karibu nusu kwa nusu lazima tuwe na huruma hasa kwa hawa wanyonge tunaowaongoza waliokosa ajira.

Nashauri Kodi hii iondolewe Mfanyakazi akishinda kesi na Mwajiri akagoma kumrejesha kazini basi Mishahara yake isikatwe Kodi kwani mapato hayo hayana tofauti na Pension funds.

Asante naomba kuwasilisha.

Mungu awaongoze vema ili mlisaidie Taifa na Rais wetu.
Mimi ni Mwanasheria hii kitu huwa siielewi kabisa, Kodi wanayopigwa hawa wakosaji ni Kaburi lao la mwisho
 
Shule mpya, iliyojengwa kwa dhamani ya milioni 500 yaporomoka!

DED,DEO,TAKUKURU,TISS,DAS,DC
wanajiandaa ujio wa Rais kuja kufungua mradi wa maji same😳
 
Attachments

  • millardayo_a60d2b2aa8534d76a0ad5fc7153ab0cd.jpg
    millardayo_a60d2b2aa8534d76a0ad5fc7153ab0cd.jpg
    148.8 KB · Views: 2
  • millardayo_87586b7fde804f1793b45dcc73d99f50.jpg
    millardayo_87586b7fde804f1793b45dcc73d99f50.jpg
    180.4 KB · Views: 2
Back
Top Bottom