Ombi maalumu: Tafadhali mwenye mawasiliano na Mjumbe yoyote aliyeteuliwa na Rais kupitia Upya misururu ya Kodi TRA anifikishie ujumbe huu muhimu

Hili jambo Lina sura ya uonevu lifanyiwe kazi
 
Hii haijakaa sawa
 
Hii rangi ya kijani shambani mpaka ije kubadilika tutakuwa tumechoka sana mbaya zaidi kuna wajinga wanaendelea kuimwagilia maji ili iendelee kuwa kijani zaidi
Mbombo ngafu
 
Hii Kodi ifanyiwe marekebisho
 
Tatizo la kodi Tanzania na ugomvi wa TRA na wafanyabiashara linatengenezwa na uropokaji wa ‘bi-tozo’.

Watanzania ni watu wakufikiria vitu kichwani na kutaka iwe ivyo, PAYE ni aspect income tax; unalipa kutokana na kipato aijalishi ulikuwa na mgogoro kazini au la. Pili mshahara wa 270,000-520,000 tax rate 8%, hata kama ni lump sump TRA hawawezi kata zaidi hiyo, vinginevyo umetapeliwa most likely na wajanja huko kazini kwako.

Kodi nyingi Tanzania sio tatizo, well except import za machinery na magari. Hizi kodi zinatakiwa kushuka sana kwa faida ya kuchochea uchumi. Ikiwezekana mashine za uzalishaji kuwa bure kabisa kuingiza nchini na kupewa 100% capital allowance kama wako serious kutatua tatizo la ajira na kuchochea uzalishaji.
 
Acha Ubinafsi wa kindezi, Mtu aliyefukuzwa kazi unamkata Kodi ya nini?
 
Acha Ubinafsi wa kindezi, Mtu aliyefukuzwa kazi unamkata Kodi ya nini?
It’s called income tax, unalipa kodi kutokana na mapato ya mshahara kwa mujibu wa sheria.

Wewe kutaka kutengeneza nadharia zako zingine, akuondoi uwepo wa sheria wa kanuni za taxation duniani; sio Tanzania tu.
 
It’s called income tax, unalipa kodi kutokana na mapato ya mshahara kwa mujibu wa sheria.

Wewe kutaka kutengeneza nadharia zako zingine, akuondoi uwepo wa sheria wa kanuni za taxation duniani; sio Tanzania tu.
Wewe ni sifuri, Nimejua huna akili kabisa unaforce sana uonekane zimo
 
Hapa ndipo watu wanashindwa kuelewa tatizo lipo wapi. Nimezitazama sheria za kodi hakuna sehemu imesema mtu aliyeachishwa kazi na kulipwa atasamehewa kodi. Nimefatilia kwenye tovuti ya tra kuona maswala ya kodi ni kuwa mapato yatokanayo na ajira , uwekezaji na biashara ndipo wanapokata kodi.Ni kweli inauma mno lakini ndiyo sheria ilivyowekwa.
 
Hili ni jambo jingine kati ya mengi ambayo Samia ameweka kama msingi wa Mageuzi
 
Ujumbe umefika
 
Hii naunga mkono iondolewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…