Ombi: Mechi ya Taifa Stars ioneshwe TBC 1

Ombi: Mechi ya Taifa Stars ioneshwe TBC 1

Wimbo

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2012
Posts
866
Reaction score
625
Ahisante Mama Samia kwa kuwawezesha watu wengi waingie uwanjani kuishangilia Timu yao kwa kununua tiketi zote za mzunguko, hiyo ni hamasa kubwa kwa timu yetu ni deni wanalopashwa kulilipa wawakilishi wetu, ninaamini kila atakaye ingia atafanya uzalendo wa kuishangilia timu yetu big up sana.

Nikuombe kitu kimoja tuwezeshe tusio na ving'amuzi vya Azam tuweze kuiona mechi yetu ionyeshwe Tbc1 ili tusilazimike kwenda vibanda umiza na usiku utakuwa mwingi.
 
Azam kahodhi michezo kwa Sasa sidhani kama hiyo itawezekana ni mwendo wa kulipia tu
 
Back
Top Bottom