Wimbo
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 866
- 625
Ahisante Mama Samia kwa kuwawezesha watu wengi waingie uwanjani kuishangilia Timu yao kwa kununua tiketi zote za mzunguko, hiyo ni hamasa kubwa kwa timu yetu ni deni wanalopashwa kulilipa wawakilishi wetu, ninaamini kila atakaye ingia atafanya uzalendo wa kuishangilia timu yetu big up sana.
Nikuombe kitu kimoja tuwezeshe tusio na ving'amuzi vya Azam tuweze kuiona mechi yetu ionyeshwe Tbc1 ili tusilazimike kwenda vibanda umiza na usiku utakuwa mwingi.
Nikuombe kitu kimoja tuwezeshe tusio na ving'amuzi vya Azam tuweze kuiona mechi yetu ionyeshwe Tbc1 ili tusilazimike kwenda vibanda umiza na usiku utakuwa mwingi.