Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu,habari.
Naombeni hukumu ya Sabaya ili nijiridhishe baada ya kupata utata wa maamuzi ya mahakama.
Nimepata utata kwa sababu ushahidi niliokuwa nafuatilia sikutegemea angekutwa na hatia.
Nakala za hukumu zimefichwa baada ya hakimu kuhongwa na genge la mbowe.Wakuu,habari.
Naombeni hukumu ya Sabaya ili nijiridhishe baada ya kupata utata wa maamuzi ya mahakama.
Nimepata utata kwa sababu ushahidi niliokuwa nafuatilia sikutegemea angekutwa na hatia.
Kama hauna ugomvi na hukumu yenyewe ukienda alipopewa hiyo hukumu bila shaka utapata ushirikiano.Wakuu,habari.
Naombeni hukumu ya Sabaya ili nijiridhishe baada ya kupata utata wa maamuzi ya mahakama.
Nimepata utata kwa sababu ushahidi niliokuwa nafuatilia sikutegemea angekutwa na hatia.
kama na sisi wananchi tunayo haki ya kuiona na kuisoma sasa kwa nini imeandikwa kwa lugha ya kizungu badala ya lugha yetu ya Kiswahili?!Nakala ya hukumu baada ya hukumu inakuwa for public consumption. Mleta post yupo sawa. Sio hadi kila mtu aende pale mahakamani Arusha ndio apate nakala ya hukumu. Nakala iwekwe wazi kwenye website au isambazwe kwenye kurasa mbali mbali za mitandao ya kijamii.
Nenda Arusha....ukaombe waanze kuchapa...utoe pesa ya kuchapa kwa malarani ili waikimbize faster ukute page 200 hivi au zaidi....ni ka process kidogoNakala ya hukumu baada ya hukumu inakuwa for public consumption. Mleta post yupo sawa. Sio hadi kila mtu aende pale mahakamani Arusha ndio apate nakala ya hukumu. Nakala iwekwe wazi kwenye website au isambazwe kwenye kurasa mbali mbali za mitandao ya kijamii.
Elimu imefanywa Bure ili uweze kupata vyote,changamkia fursa hiyo.kama na sisi wananchi tunayo haki ya kuiona na kuisoma sasa kwa nini imeandikwa kwa lugha ya kizungu badala ya lugha yetu ya Kiswahili?!
kwa hiyo kiingereza ni Elimu au lugha?Elimu imefanywa Bure ili uweze kupata vyote,changamkia fursa hiyo.
Wewe unafijiria je?kwa hiyo kiingereza ni Elimu au lugha?
Kizungu ni lugha kama ilivyo kiswahili.Wewe unafijiria je?
Je hicho kiswahili na hicho kiingezera si elimu, je wajua wapo maprofesa wa elimu za lugha hizo ?.Kizungu ni lugha kama ilivyo kiswahili.
tatizo watanzania walio wengi bado wapo gizani wakidhani kuwa kujua kizungu ni dalili ya kuelimika kumbe sio!!
kama kujua kizungu ni kuelimika basi waingereza wote wangekuwa maprofesa.
tumieni kiswahili kwa maendeleo yenu, lkn pia tujifunze kizungu kwa ajili ya mawasiliano.
Elimu sasa hivi bure nenda kasomekama na sisi wananchi tunayo haki ya kuiona na kuisoma sasa kwa nini imeandikwa kwa lugha ya kizungu badala ya lugha yetu ya Kiswahili?!
Rudi shule ukifika la tatu utakuta somo la kiingerezakwa hiyo kiingereza ni Elimu au lugha?
tuache ulimbukeni, Mahakama zinapaswa ziandike hukumu kwa kiswahili sio kizungu.
Mbona kinyozi hakuonja hata sikio kidogo ili amkumbushe kama alikula kipande Cha sikio la mtu enzi zake?
Sasa zitasambazwa hukumu ngapi ?kaiba tecno na 35,000 acha apate haki yakeNakala ya hukumu baada ya hukumu inakuwa for public consumption. Mleta post yupo sawa. Sio hadi kila mtu aende pale mahakamani Arusha ndio apate nakala ya hukumu. Nakala iwekwe wazi kwenye website au isambazwe kwenye kurasa mbali mbali za mitandao ya kijamii.
Ahsante CCM kwa kutoa elimu bure kwa watanzania.Elimu sasa hivi bure nenda kasome
Hahahaha hahahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakala za hukumu zimefichwa baada ya hakimu kuhongwa na genge la mbowe.
Haijawahi kutokea anayetuhumiwa kuiba laki 3 na simu ya tecno kuhukumiwa miaka 30.
Mungu atawalipa kwa gaidi kufungwa na yeye