Ombi: Mwenye nakala ya hukumu ya kesi Dhidi ya Ole Sabaya aniwekee humu

Ombi: Mwenye nakala ya hukumu ya kesi Dhidi ya Ole Sabaya aniwekee humu

wananchi tunaomba Hukumu za Mahakama ziandikwe kwa Lugha ya Kiswahili.
tunziomba Mahakama zetu kama kweli zipo kwa ajili ya kutoa huduma kwa wananchi wa Tanzania.
 
Elewa tu ujambazi wa kutumia silaha adhabu yake ni miaka 30, kazi ngumu na fimbo 12 wakati wa kuingia na wakati wa kutoka.
 
Wakuu,habari.
Naombeni hukumu ya Sabaya ili nijiridhishe baada ya kupata utata wa maamuzi ya mahakama.
Nimepata utata kwa sababu ushahidi niliokuwa nafuatilia sikutegemea angekutwa na hatia.
Tafuta hela wewe utunze familia na usaidie wazazi wako acha kiherehere
 
Nakala za hukumu zimefichwa baada ya hakimu kuhongwa na genge la mbowe.

Haijawahi kutokea anayetuhumiwa kuiba laki 3 na simu ya tecno kuhukumiwa miaka 30.
Mungu atawalipa kwa gaidi kufungwa na yeye
Ficha huo ujinga Mbowe angekuwa na huo uwezo asingekaa ndani mpaka leo
 
Wakuu,habari.
Naombeni hukumu ya Sabaya ili nijiridhishe baada ya kupata utata wa maamuzi ya mahakama.
Nimepata utata kwa sababu ushahidi niliokuwa nafuatilia sikutegemea angekutwa na hatia.
Wasiliana na wanasheria wake
 
Kuiba laki tatu na hukumu ya miaka 30 inategemea umeiba kwa njia gani? mfano umeiba kwa kkutumia silaa adhabu hubadilika na ata kesi hubadilika pia kutoka kuiba au kunyang'anya hadi kuiba au kunyang'anya kwa kutumia silaha
Nakala za hukumu zimefichwa baada ya hakimu kuhongwa na genge la mbowe.

Haijawahi kutokea anayetuhumiwa kuiba laki 3 na simu ya tecno kuhukumiwa miaka 30.
Mungu atawalipa kwa gaidi kufungwa na yeye
 
Back
Top Bottom