Ombi: Nahitaji mwana-JF (KE) wa kubadilishana naye mawazo wikiend hii. Just kubadilishana mawazo!

Ombi: Nahitaji mwana-JF (KE) wa kubadilishana naye mawazo wikiend hii. Just kubadilishana mawazo!

kiritimba

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2011
Posts
603
Reaction score
88
Nahitaji kupanua wigo wa mambo ya ki-social kwa hiyo naomba mwana-jf yeyote yule wa kike aniPM ili tuweze kuona namna gani tunaweza kuonana wikiendi hii kwa ajili ya kubadilishana mawazo tu! Naomba PM.
 
mmmmmmmmhhhh una uhakika mtaishia kubadilishana mawazo tu? au?
 
unataka kumuacha huyo uliemsema hafiki sijui wapi?
 
upo mkoa gani au uko tayari kusafiri kwa ajili ya kubadilishana mawazo
 
upo mkoa gani au uko tayari kusafiri kwa ajili ya kubadilishana mawazo

wekend ndefu sana. mtu ana uwezo wa kusafir kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine na kurudi ndani ya wikiend
 
Sasa umeshasema this weekend mambo ya next yametokea wapi? na je ukimpata bibie for this w/end utamtosa?

dalili zinaonesha nimegonga mwamba for this wikiendi. niwekee tu nafasi yangu ya wikiendi ijayo. sitachoka kusubiri.
 
Lily Flower,.....ameomba mu_MP,halafu wewe ndio unampotezea kiaina..............fanya hivyo bana jamaa kasema yuko mpweke sana

Igwe nilikuwa namtakia kila la heri tu maana kama ningeafiki ningemPM, sijampotezea dear........
 
dalili zinaonesha nimegonga mwamba for this wikiendi. niwekee tu nafasi yangu ya wikiendi ijayo. sitachoka kusubiri.

Usikate tamaa siku ya leo bado ndefu kuna kesho utafanikiwa tu na nakushauri ukimpata ukae nae for w/ends zote.
 
Back
Top Bottom