Ombi: Nahitaji mwana-JF (KE) wa kubadilishana naye mawazo wikiend hii. Just kubadilishana mawazo!

Nahitaji kupanua wigo wa mambo ya ki-social kwa hiyo naomba mwana-jf yeyote yule wa kike aniPM ili tuweze kuona namna gani tunaweza kuonana wikiendi hii kwa ajili ya kubadilishana mawazo tu! Naomba PM.

Bila shaka wewe domo zege
 
Nahitaji kupanua wigo wa mambo ya ki-social kwa hiyo naomba mwana-jf yeyote yule wa kike aniPM ili tuweze kuona namna gani tunaweza kuonana wikiendi hii kwa ajili ya kubadilishana mawazo tu! Naomba PM.

Avator yako inatoa roho. Nipe mpango mzima wa hiyo weekend huko Private mie sipendi kuingiia.weka mambo hadharani kwani tunaenda kunyongana?
 
Nahitaji kupanua wigo wa mambo ya ki-social kwa hiyo naomba mwana-jf yeyote yule wa kike aniPM ili tuweze kuona namna gani tunaweza kuonana wikiendi hii kwa ajili ya kubadilishana mawazo tu! Naomba PM.

Mmmmmmm, JF ya siku hizi ina vibweka!!! Mtu unakuwa lonely halafu unataka kumpata wa kubadilishana mawazo tu kwa mwaliko wa jumla kupitia mtandao. Nina shaka huyo atakayejitoa mhanga waweza kumbadilikia, hata ma-fataki wanaanzaga hivyo hivyo, kwa pipi, penseli, peremende etc mwishowe binti anapata mimba. Nakutakia kitu kimoja tu, nia yako iskwamishwe, na ushindwe na ulegeeeeee!!!! Kama nimekuudhi samahani, niko natetea haki za akina mama.
 
Asante sana Mama Mdogo kwa neno la leo zuri Kiritimba soma hapa na utakua umeokoka.
 
Mmmmmmm, JF ya siku hizi ina vibweka!!! Mtu unakuwa lonely halafu unataka kumpata wa kubadilishana mawazo tu kwa mwaliko wa jumla kupitia mtandao. Nina shaka huyo atakayejitoa mhanga waweza kumbadilikia, hata ma-fataki wanaanzaga hivyo hivyo, kwa pipi, penseli, peremende etc mwishowe binti anapata mimba. Nakutakia kitu kimoja tu, nia yako iskwamishwe, na ushindwe na ulegeeeeee!!!! Kama nimekuudhi samahani, niko natetea haki za akina mama.

We mama mdogo hujui kuwa mtandao ni njia mojawapo ya mawasiliano. Na kwa nini uwasemee wewe, mabinti wa humu wote ni watu wazima tena wenye akili timamu. Kwa hiyo kama ni suala la kutetea haki katetee haki za watoto au wanawake wanaoonewa. Mimi hapa nimeomba, na natumaini mabinti wengi watanielewa kwani wengi humu ni werevu sana.
USIWAPOTOSHE NA USIWAKIMBIZIE BAHATI YAO. LAKINI: USINIHARIBIE.
 
Hivi mtu kuiitwa binti kuanzia age gani?..... mpaka...... Just want to clarify something here.........
 
Watu wanabadishana mawazo humu.hayo yako yakoje?so special nini!
 
Back
Top Bottom