Ombi: Naomba Pitia Hapa Utajifunza kitu na wewe!

Ombi: Naomba Pitia Hapa Utajifunza kitu na wewe!

Pamoja na kua unasomea engineering, kazi za sales na marketing zingekufaa zaidi.

Unaweza kuwa salesman mzuri au kazi za marketing.
Mwanangu ume hit the Point Kabisaa ndo Maana najiulizaga kwanini nikitaka kuuza kitu au kufanya kibiashra kwa Faida kubwa Haijawahi kukwama kwanini? Nilijua ni Kismati tyu asee kumbee inachangia!
 
Ukikaa kwenye wajinga wengi unaweza kujiona una high convincing power kwa sababu wajinga wengi wamekuzunguka.

Ila silazima uwe na high convincing power kuwa convince wajinga.
 
"Hakuwah onekana na binti
Hakuihas diin
Alikua mtu wa maadiili
Lakin alikufa kwa ngoma"

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
1455361467-mr-bean-what.gif
 
Umefanikiwa kutuconvice kusoma ulicho post

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Naitwa A am 21, Kwa Miaka Mingi sana marafiki zangu Ndugu Zangu na watu wengine wengi wamewahi kuniambia kwa Nyakati Tofauti Kwamba Mimi Ni Mtu Mwenye uwezo Mkubwa wa Ushawishi (HIGH CONVICING POWER), Kiufupi mimi sikuwahi kutilia maanani Hata Kidogo na niliacha Maisha yasonge vivo hivo!
Ikatokea wakati nikitongoza Mwanamke Lazima akubali kwa muda Mfupi na ikitokea tumekosana nikiongea nao wananisamehe kirahisi saana! lakini nikaja kuona baadae ikatokea hali fulani kama hawataki kuwa nami au kunisamehee basi ile nafasi ya kunisikiliza Hawanipi kabisa yaani kama kuonana au kujib text!, Hilo Nalo Pia sikuwahi kutilia Maanani!
Basi Leo Nikiwa nafanya Field Mkoa Flani Meneja wangu aliniita akaniambia Dogo una High Convicing Power! Yaani Kubwa saana! na mtu Mshamba Mshamba hawezi kushtukia Hilo! Akaniambia Kijana wangu Nenda ukatumie Huo uwezo wako Vizuri (Positiely) Hakika utakuja Ufanikiwe sana!
Kwa Kiabu flani na Kiuoga Nikauliza Ee Bwana Mkubwa Nitumie Positively Kivipi? Akasema mimi sintokuambia Hilo Ila nenda kautumie vizuri!
Niliwaza sana Bila Kupata Majibu Basi nimeamua niwashirikishe Nanyi Marafiki na Ndugu Zangu wa Hili Jukwaa ili muweze kunishauri How can i use it Positively?

ni mimi A TheMason

Anza kwa ku edit post yako na kuondoa hayo ma capital letters yaliyojazana yasipostahili.
 
Nenda mconvic magu

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
Kutongoza ni kuwa na gari au pesa tuu.. Ova

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Anza kwa ku edit post yako na kuondoa hayo ma capital letters yaliyojazana yasipostahili.
Bi Mkubwa FaizaFoxy Kuna uwezekano wa wewe kuwa Mtu Bora Lakini unapoyumba ni hapo unapokosa Apreciation yaani Hicho kitu ni Hatari sanaa maanake ata wewe utakosa apreciation ndo maana huwa najiuliza kwanini kila mtu anakusema vibaya? Kumbe ni Hizi tabia zako zisizoendana na uzee wako anyway badilika bibi yangu Bado Nafasi unayo Kubwa tu!
 
Somea sheria ukamtetee Ruge!
Mahakama lazima wakuelewe

sent by IPhone 6 using jamii forum app
 
Somea sheria ukamtetee Ruge!
Mahakama lazima wakuelewe

sent by IPhone 6 using jamii forum app
Hahahahaaa ushauri mzurii semaa daaah nshakuwa Engineer
 
Back
Top Bottom