johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nimekuelewa bwashee!Kanuni zaidi zinahitajika ili mbunge akijiuzulu apoteze sifa ya kugombea nafasi hiyo milele.
Mtu anaweza kufaulu vipimo kabla ya uchaguzi halafu kichaa akakipata akiwa ofisini.
Ni fedheha kwa vyama hivyo kuwa na watu wanaochuuzwa kama mumi au kamongo.
Nimekuelewa mkuu!Naunga mkono hoja, ila tukiamua kuwapima akili wagombea, then tuwapime wote bila ubaguzi.
P
Kweli ya america na tz yanathibitisha hiloMkuu upo sawa ila si wa upinzani tu hata wa ccm. Na mtu ww kutilia mkazo kupima ni wagombea Urais. Tukiendekeza huchama tutakuta siku moja tunatawaliwa na kichaa bila kujijua.
Ilikuwaje chama makini kiwe na wabunge wanaoweza kununuliwa?Sasa ambacho aufahamu nikuwa wamenunuliwa. Wala sio machizi hila machizi ninyie Ambao amjitabui wanachama wa ccm.