Ombi - Saint Dr Ivuga

Ombi - Saint Dr Ivuga

Mchungaji na wewe huwa unakesha maana kama unachungulia asubuhi, mchana na usiku basi na wewe ni walewaleee

Mimi huchgungulia huchungulia ila ukifatlia kuna nyakati huwa nakuwa sipo hewani ...1
 
Refer post no.2 Mkuu. Si lazima kila mtu yupo ulipo wewe au unapofikiria wewe kuwa yupo hapo.
Una uhakika gani kuwa mimi sikeshi?
Anyway sioni sababu ya kubishania hilo kwani kukesha kwangu si kwa sababu/namna unayofikiria/unayotaka wewe.

ni marufuku kubishana na mchungaji humu jamvini labda kama umetumwa
 
bora na nyie mnaweza kukesha na hata rev nae ni mkeshaji mzuri amejuaje kama ivuga na muua paka...
 
Nimuonavyo kijana mtukutu ivuga yuko majuu na nafikiri alienda kwa msaada wa FMES kwa lile deal la majuu.....so nasikia majuu mahela kibao dogo anachajisha kiti heater kwa kudonoa kiiibodi kujibu hoja za goi goi kama Nnauye...
 
Kwa hisani ya @New York, USA
 
Nimuonavyo kijana mtukutu ivuga yuko majuu na nafikiri alienda kwa msaada wa FMES kwa lile deal la majuu.....so nasikia majuu mahela kibao dogo anachajisha kiti heater kwa kudonoa kiiibodi kujibu hoja za goi goi kama Nnauye...
bwa h ah ah ah ah aha!!!!!!!!! @new york city
yoyo umenichekesha sana !! ule msaada wa FMES hivi kuna mtu alifaidika nao kweli?
mimi ni wa hapahapa na number yangu ni hii hapa piga usiku tu
0732210678*
 
Dogo hii namba ilikuwa ya small hausi akadai simu imepotea kumbe alikupa wewe ?
 
Mi hii ya @ New York City huniachaga hoi hahaha! hata ukiwa Tandale au Tunduma kama mchango wako una uzito tutauthamini tu lol!

hi ni kwa hisani ya ndugu yetu !!!!!!!!! hahahahahhha !! tunaitumia tu kwa msisitizo
 
Back
Top Bottom