ndenjii handsome
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 647
- 706
[emoji1787][emoji1787]Mkuu naona unahasira sana. Tutazoea tu.Kila mmoja kwa nafasi yake inabidi awajibike kuichangia hii nchi tupate maendeleo
Najua tayari kuna kodi nyingine ila hizi zilizopo sidhani kama zinatosha kuleta maendeleo kama wananchi tunavyotarajia sababu sio wote wanatoa. Nadhani ukiletwa utaratibu mzuri wa hii kodi Serikali yetu itapata kiasi kikubwa hivyo tutapata maendeleo kwa wakati
Kodi si dhambi.
Fanyeni haya kwa kunikumbuka mimi.
Unataka kuwaua book 7?Kila mmoja kwa nafasi yake inabidi awajibike kuichangia hii nchi tupate maendeleo
Najua tayari kuna kodi nyingine ila hizi zilizopo sidhani kama zinatosha kuleta maendeleo kama wananchi tunavyotarajia sababu sio wote wanatoa. Nadhani ukiletwa utaratibu mzuri wa hii kodi Serikali yetu itapata kiasi kikubwa hivyo tutapata maendeleo kwa wakati
Kodi si dhambi.
Fanyeni haya kwa kunikumbuka mimi.
Kodi ni sahihi isipokuwa pesa inayo kushanwa ionekane katika kujenga nchi.Kila mmoja kwa nafasi yake inabidi awajibike kuichangia hii nchi tupate maendeleo
Najua tayari kuna kodi nyingine ila hizi zilizopo sidhani kama zinatosha kuleta maendeleo kama wananchi tunavyotarajia sababu sio wote wanatoa. Nadhani ukiletwa utaratibu mzuri wa hii kodi Serikali yetu itapata kiasi kikubwa hivyo tutapata maendeleo kwa wakati
Kodi si dhambi.
Fanyeni haya kwa kunikumbuka mimi.
Kichwa kidogo 🤣 🤣 🤣Mkuu serikali irudishe kodi ya vichwa au kichwa?
Kichwa kipi sasa?
Unamaanisha?
Maana sisi wengine tuna vichwa viwili ina maana tutalipia Mara 2?
Ni kwamba hata ukiwa na watoto wako walipe kod itapendezaMkuu serikali irudishe kodi ya vichwa au kichwa?
Kichwa kipi sasa?
Unamaanisha?
Maana sisi wengine tuna vichwa viwili ina maana tutalipia Mara 2?
Mpaka akil zirejee maana tumezoea kulialia bila kuchukua hatuaMimi napendekeza 30000/kwa mwaka @ kichwa .
Mkuu acha tu wanajifanya wanazunguka kumbe lengo lao ni hili tumestuka[emoji1787][emoji1787]Mkuu naona unahasira sana. Tutazoea tu.
Hamna namna irud tuUnataka kuwaua book 7?
Ingependeza sanaKodi ni sahihi isipokuwa pesa inayo kushanwa ionekane katika kujenga nchi.
Nadhani hata kodi ya matibabu ingeanzishwa. Kila mwezi mtu anakatwa kodi ya matibabu ya Afya.
Apate matibabu bure yaani kumuona daktari ni bure au matibabu makubwa ni bure.
Kodi ya elimu ambayo elimu iwe bure mpaka formIV.
Kila raia akatwe ukiwa una mto au huna mtoto , ukiwa mgonjwa au mzima, ukatwe.
Kila raia anayefanya kazi kujiajiri au kuajiriwa.?
Kila mmoja kwa nafasi yake inabidi awajibike kuichangia hii nchi tupate maendeleo
Najua tayari kuna kodi nyingine ila hizi zilizopo sidhani kama zinatosha kuleta maendeleo kama wananchi tunavyotarajia sababu sio wote wanatoa. Nadhani ukiletwa utaratibu mzuri wa hii kodi Serikali yetu itapata kiasi kikubwa hivyo tutapata maendeleo kwa wakati
Kodi si dhambi.
Fanyeni haya kwa kunikumbuka mimi.
Kila mmoja kwa nafasi yake inabidi awajibike kuichangia hii nchi tupate maendeleo
Najua tayari kuna kodi nyingine ila hizi zilizopo sidhani kama zinatosha kuleta maendeleo kama wananchi tunavyotarajia sababu sio wote wanatoa. Nadhani ukiletwa utaratibu mzuri wa hii kodi Serikali yetu itapata kiasi kikubwa hivyo tutapata maendeleo kwa wakati
Kodi si dhambi.
Fanyeni haya kwa kunikumbuka mimi.
Kweli kabisa kila kichwa iwe laki mojaKila mmoja kwa nafasi yake inabidi awajibike kuichangia hii nchi tupate maendeleo
Najua tayari kuna kodi nyingine ila hizi zilizopo sidhani kama zinatosha kuleta maendeleo kama wananchi tunavyotarajia sababu sio wote wanatoa. Nadhani ukiletwa utaratibu mzuri wa hii kodi Serikali yetu itapata kiasi kikubwa hivyo tutapata maendeleo kwa wakati
Kodi si dhambi.
Fanyeni haya kwa kunikumbuka mimi.
Ukiona unakichwa ,[emoji14][emoji14] kodi ihusike kwa maendeleo ya nchiEleza vizuri sasa maana wengine wana vichwa viwili
Hapana mkuu hizi tozo mbona unauwezo wa kuepuka hasa ukiwa kijijinKama kuna Mtanzania halipi kodi kupitia miamala ya simu basi huyo hata kupata milo 2 kwa siku ni mtihani kwake
Mpaka tuongee lugha moja hivi sasa taifa limejigawa sanaKweli kabisa kila kichwa iwe laki moja