Katika mwaka ambao watumishi walio tia Nia wameumia ni mwaka 2020 na wanaendelea kuumia,kulia,kulalamika,kuteseka na wamekuwa Kama wakimbizi ndani ya CCM na serikali Yao.Hiki Ni kilio kikubwa sana.wamechangia chama mabilioni, ya fedha.matokeo yake watumishi hao wameishia kukosa kura za maoni,kukosa mishahara ya miezi miwili,wengine wamefukuzwa kazi, wengine wamekosa hata namna ya kulipa Kodi za nyumba na mwisho wake watumishi hao wanatakiwa kusimamia uchaguzi mkuu na wanatakiwa kugombea Kura. Watumishi walioathirika na janga Hilo ni zaidi ya 7,000 robo ya wapiga Kura wote October 28. Watumishi hai Wana wategemezi zaidi ya3 Hadi 5 nao wameathirika ,ukiunganisha watumishi na wategemezi wao ni zaidi ya watu 21,000 .mkifuata sheria itabidi hata Mh Rais na waziri mkuu warudishe mishahara waliyochukua mwaka 2015 wakati wanagombea.busara itumike.watumishi wa umma ni kundi la watu maskini Hakuna asiyetaka kujiajiri mwenyewe Bali uwezo huo hawana. Hali hii isiporekebishwa madhara yake ni makubwa baadaye .