Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Pole best ake.Nilikushauri usigombee ukagombea but mwezi ujao Mambo safiii.Na vyeo vya kuteuliwa mtapataMkuu kwani mshahara ambao hawalipwi hawa jamaaa wewe unakusaidia? Unaingia Kwenye akaunti yako? Acha roho mbaya mkuu.
Roho mbaya haijengi ; kuwa na utu/ ubinadamu
Yeye awali alikuwa sengerema sekondary Kama mwalimu. Kama sio tamaa alitoka wapi na urais?Tatizo mna tamaa na muheshimiwa alishalisemea hili! Hapa umekuja kwa gia ya kupigania chama..hebh subirini uchaguzi upite kisha muandike tena barua tuangalie kama kuna nafasi!
Chizi kabisa weweNashauri walipwe baada ya uchaguzi mkuu, mgombea aliyeteuliwa sasa anaweza kufa au kufukuzwa wanaofata chini yake wakaitwa kuziba gepu, walipwe baada ya wateule kuapishwa.
Nashukuru kwa observation yako mkΓΉu, kiukweli kuna somo kubwa watumishi wa Umma hasa makada wa CCM wamejifunza kupitia hili salama la kutolipwa mishahara.Watumishi wa umma mateso ya miaka 5 ya hakuna increments, kupanda vyeo (walimu),ongezeko la mshahara,kutolipwa malimbikizo yenu n.k iwe ni fundisho na akili zenu kuikataa ccm kwa nguvu zote.Familia zenu ziikatae ccm.
Msiwapigie kura ya urais,wabunge wala madiwani.Ndiyo wadhalilishaji wenu
That is very good observation, lakini pia yeye ni M/KITI na hawa makada wamekipambania chama chake, je hiyo ya kuwanyima mishahara ndio ASANTE yake kwa makada wake wafia chama?? Inaumiza sana kwa kweli .Yeye awali alikuwa sengerema sekondary Kama mwalimu. Kama sio tamaa alitoka wapi na urais?
Mimi nafikiri makada waliogombea hawakufanya makosa kugombea tena kukipigania chama chao kilichopo madarakani.Pole best ake.Nilikushauri usigombee ukagombea but mwezi ujao Mambo safiii.Na vyeo vya kuteuliwa mtapata
Chama kitapiganiwa na Nec,usalama na vyombo vya dola nyie watumishi hata mkilia na kutishia mpk asubuhi hamna madhara.Absolutely ! Unalolisema ni sahihi na ndio tumeshauri busara itumike ili kuondoa hili sononeko la hawa watumishi wa Umma ambao ni makada waliojitoa kukipigania chama chao majimboni.
Kinyume na hapo nafikiri majibu yatapatikana na viongozi wa Chama watakuwa tayari wameshachelewa kuziba huo ufa ndani ya chama .
Wala hakuna madhara yatakayo jitokeza.Katika mwaka ambao watumishi walio tia Nia wameumia ni mwaka 2020 na wanaendelea kuumia,kulia,kulalamika,kuteseka na wamekuwa Kama wakimbizi ndani ya CCM na serikali Yao.Hiki Ni kilio kikubwa sana.wamechangia chama mabilioni, ya fedha.matokeo yake watumishi hao wameishia kukosa kura za maoni,kukosa mishahara ya miezi miwili,wengine wamefukuzwa kazi, wengine wamekosa hata namna ya kulipa Kodi za nyumba na mwisho wake watumishi hao wanatakiwa kusimamia uchaguzi mkuu na wanatakiwa kugombea Kura. Watumishi walioathirika na janga Hilo ni zaidi ya 7,000 robo ya wapiga Kura wote October 28. Watumishi hai Wana wategemezi zaidi ya3 Hadi 5 nao wameathirika ,ukiunganisha watumishi na wategemezi wao ni zaidi ya watu 21,000 .mkifuata sheria itabidi hata Mh Rais na waziri mkuu warudishe mishahara waliyochukua mwaka 2015 wakati wanagombea.busara itumike.watumishi wa umma ni kundi la watu maskini Hakuna asiyetaka kujiajiri mwenyewe Bali uwezo huo hawana. Hali hii isiporekebishwa madhara yake ni makubwa baadaye .
Hahaha mkuu poa umeeleweka lakini usidharau nguvu ya mtu mwenye njaa.Wala hakuna madhara yatakayo jitokeza.
Wana CCM jitahidini muwe wazalendo,pesa hio tutaipeleka kwny miradi ya maendeleo ili tusonge mbereeeeeeeeee.
Magufuli ana roho ngumu dah,poleni watumishi